Ushindi wa kishindo wa Wizkid kwenye tuzo za MTV MAMA mwaka huu, unanikumbusha wale wanafunzi wa kiume ambao huwa hawana time kabisa na wasichana wa darasani, lakini bado watamnasa kila demu mkali.Wanafunzi wa aina hii ni wale ambao huwa na akili sa… Read more »walumitz.blogspot.com
VIDEO:Majambazi Wenye Pikipiki Wapora $40,000 Ofisini Kwa Mohamed Ishaq (Scandinavia)
Jamaa katika Nissan kaibiwa usd 40,000 na majambazi ofisini kwa Mohamed Ishaq (scandinavia) Majambazi walimfuatilia tokea benki. Video ya pili inaonesha tukio lililochukuliwa na rekodi za cctv camera … Read more »walumitz.blogspot.com
Hans van Pluijm amejiuzulu Yanga Baada ya Kusikia Ujio wa Kocha Mpya
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm ameandika barua ya kujiuzulu kuifundisha klabu hiyo ya Jangwani.Uamuzi wa Pluijm umekuja baada ya tetesi kuzangaa kwamba uongozi wa klabu hiyo unampango wa kubadili benchi la ufundi la klabu hiyo huku… Read more »walumitz.blogspot.com
Matumaini Mapya Kwa Mchezaji Kutoka Tanzania Hasheem Thabit Kurudi Kucheza NBA Baada ya Kutemwa
Miaka kadhaa iliyopita, kwa mara ya kwanza Tanzania ilipata mwakilishi kwenye ligi bora ya kikapu duniani; NBA kupitia Hasheem Thabeet. Wapenda michezo na maendeleo kwa ujumla walifurahia uwakilishi huo kwa kile kilichoonekana kutafungua milango kwa… Read more »walumitz.blogspot.com
Diamond: Wasanii Wengi wa Kimataifa Wametaka Kujiunga na WCB ila Nimewakatalia
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wak… Read more »walumitz.blogspot.com
Mawakili Wambana Ester Bulaya Mahakamani....Vielelezo Idadi ya Wapiga Kura Vyatofautiana
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini (Chadema), Ester Bulaya jana alikaliwa kooni na mawakili wa wadai katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi 2015 wakimtaka kutoa ufafanuzi wa idadi ya wapigakura waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Katika … Read more »walumitz.blogspot.com
Vigogo Bandari Kizimbani kwa Rushwa ya Bilioni 8
Vigogo watatu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Ephraim Mgawe (62) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kujihus… Read more »walumitz.blogspot.com
Morocco na Tanzania zasaini mikataba 21 ya ushirikiano Ikulu jijini Dar
Mfalme Mohammed VI wa Morocco amekubali maombi ya Rais John Magufuli ya kujenga uwanja wa mpira mjini Dodoma ambao utakuwa mkubwa kuliko ule wa Taifa jijini Dar es Salaam sambamba na kujenga msikiti mkubwa jijini humo. Rais Magufuli aliyasema hayo… Read more »walumitz.blogspot.com
Serikali Yakanusha Taarifa Iliyosambaa Katika Mitandao Ya Kijamii Kuwa Itaanza Kutoa Ajira
1.Ipo taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikimnukuu Waziri wa Nchi -Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), kuwa Serikali itaanza kutoa ajira, kupandisha Vyeo na kulipa Stahiki mbalim… Read more »walumitz.blogspot.com
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Octoba 25
Serikali kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo kwa kipaumbele
Serikali ipo katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma nchini kwa muda fulani ili kuhakikisha dhamira ya serikali ya inatimia. Fani hizo ni sayansi za tiba na afya, ualimu wa s… Read more »walumitz.blogspot.com
Sare za CCM zamshusha cheo Mwalimu Mkuu
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kasamwa ya mkoani Geita, Dennis Otieno anadaiwa kushushwa cheo kutokana na kuzuia wanafunzi kuvaa sare za CCM kwenye mahafali ya kidato cha nne. Pia, taarifa hizo zinasema mkuu huyo wa shule alipinga kitendo cha baadhi … Read more »walumitz.blogspot.com
Lipumba aitaka Chadema Kutoingilia Mgogoro CUF......Aifananisha Opareshi UKUTA na Biskuti
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoingilia mgogoro uliopo ndani ya chama hicho kwa sababu hauwahusu. Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dar es Salaam al… Read more »walumitz.blogspot.com
Mbowe aikumbuka Oparesheni UKUTA.....Asema Serikali inaendeshwa kwa hila
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema Demokrasia, Katiba na Sheria haziheshimiwi na kwamba Jeshi la Polisi limekuwa wakala wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kilichofanywa kwenye uchaguzi wa umeya wa Manispaa… Read more »walumitz.blogspot.com