0


1. Jina halisi la Bernad Membe ni Bakari Membe ambaye ni muislamu kwa dini na si mkristo. Hata ndugu zake Membe wengi ni waislamu wa kabila la wamwera.

2. Baba yake halisi (biological father) ni Mzee Mrisho Kikwete ambaye alizaa na Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la Wamwera uchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio jina la ukoo wa mtoto. Wamwera ni kabila linalofuata matrilenial system ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.

3. Bernad Membe amelelewa na Baba wa kufikia aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye Baba yake mzazi. Hii ni kama ilivyo kwa Nape Nnauye ambaye anamtaja Mzee Mosses Nnauye ndiye Baba yake wakati Baba yake halisi wa Nape ni Prof. Mark Mwandosya.

3. Bernard Membe na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka yake. Wameshare Baba mmoja ila Mama tofauti tofauti.

4. Membe alimuokoa Jakaya Kikwete wakati akiwa jeshini ambapo JK alitoroka kambini na kwenda kwa kulala kwa mwanamke. Wakati wa kuitwa majina hakuonekana na ndipo ikaundwa kamati ya kwenda kuchunguza alipokuwa JK. Kamati hiyo iliongozwa na Bernard Membe (mdogo wake) ambaye alifanya juu chini hadi kumuokoa JK asitimuliwe jeshini. Kwa kuonyesha fadhila, JK aliposhinda urais akamuingiza Membe kwenye baraza la mawaziri na Membe amempa sharti la kuhakikisha anamsaidia ashinde urais la sivyo ataanika mambo yote ya siri ya JK. Hii ndio sababu kubwa nyingineyo ya familia ya Kikwete kuamua kumsaidia Membe katika urais.

5. Membe anapiga kufa na kupona kuingia ikulu ili afanikishe malengo aliyotumwa na jumuiya kimataifa za kiislam za kuhakikisha analifanya Taifa la Tanzania kuwa Taifa la kiislamu. Alishaianza hii kazi maalum kwa kushinikiza kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa nchini, wazo lililoletwa na Bernad Membe.

http://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=12367827

Chanzo: JF

Post a Comment Blogger

 
Top