0
MTV MAMA: Ushindi wa Kishindo wa Wizkid Utuamshe Kuhusu Tunavyozichukulia Tuzo
MTV MAMA: Ushindi wa Kishindo wa Wizkid Utuamshe Kuhusu Tunavyozichukulia Tuzo

Ushindi wa kishindo wa Wizkid kwenye tuzo za MTV MAMA mwaka huu, unanikumbusha wale wanafunzi wa kiume ambao huwa hawana time...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
VIDEO:Majambazi Wenye Pikipiki Wapora $40,000 Ofisini Kwa Mohamed Ishaq (Scandinavia)
VIDEO:Majambazi Wenye Pikipiki Wapora $40,000 Ofisini Kwa Mohamed Ishaq (Scandinavia)

Jamaa katika Nissan kaibiwa usd 40,000 na majambazi ofisini kwa Mohamed Ishaq (scandinavia) Majambazi walimfuatilia t...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Hans van Pluijm amejiuzulu Yanga Baada ya Kusikia Ujio wa Kocha Mpya
Hans van Pluijm amejiuzulu Yanga Baada ya Kusikia Ujio wa Kocha Mpya

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm ameandika barua ya kujiuzulu kuifundisha klabu hiyo ya Jangwani. Uamuzi wa P...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Matumaini Mapya Kwa Mchezaji Kutoka Tanzania Hasheem Thabit Kurudi Kucheza NBA Baada ya Kutemwa
Matumaini Mapya Kwa Mchezaji Kutoka Tanzania Hasheem Thabit Kurudi Kucheza NBA Baada ya Kutemwa

Miaka kadhaa iliyopita, kwa mara ya kwanza Tanzania ilipata mwakilishi kwenye ligi bora ya kikapu duniani; NBA kupitia Hashee...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
 Diamond: Wasanii Wengi wa Kimataifa Wametaka Kujiunga na WCB ila Nimewakatalia
Diamond: Wasanii Wengi wa Kimataifa Wametaka Kujiunga na WCB ila Nimewakatalia

Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Mawakili Wambana Ester Bulaya Mahakamani....Vielelezo Idadi ya Wapiga Kura Vyatofautiana
Mawakili Wambana Ester Bulaya Mahakamani....Vielelezo Idadi ya Wapiga Kura Vyatofautiana

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini (Chadema), Ester Bulaya jana alikaliwa kooni na mawakili wa wadai katika kesi ya kupinga matokeo ya...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Vigogo Bandari Kizimbani kwa Rushwa ya Bilioni 8
Vigogo Bandari Kizimbani kwa Rushwa ya Bilioni 8

Vigogo  watatu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Ephraim Mga...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Morocco na Tanzania zasaini mikataba 21 ya ushirikiano Ikulu jijini Dar
Morocco na Tanzania zasaini mikataba 21 ya ushirikiano Ikulu jijini Dar

Mfalme  Mohammed VI wa Morocco amekubali maombi ya Rais John Magufuli ya kujenga uwanja wa mpira mjini Dodoma ambao utakuwa mku...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Serikali Yakanusha Taarifa Iliyosambaa Katika Mitandao Ya Kijamii Kuwa Itaanza Kutoa Ajira
Serikali Yakanusha Taarifa Iliyosambaa Katika Mitandao Ya Kijamii Kuwa Itaanza Kutoa Ajira

1. Ipo taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikimnukuu Waziri wa Nchi -Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa ...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Octoba 25
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Octoba 25

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Serikali kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo kwa kipaumbele
Serikali kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo kwa kipaumbele

Serikali ipo katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Sare za CCM zamshusha cheo Mwalimu Mkuu
Sare za CCM zamshusha cheo Mwalimu Mkuu

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kasamwa ya mkoani Geita, Dennis Otieno anadaiwa kushushwa cheo kutokana na kuzuia wanafunzi ...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Lipumba aitaka Chadema Kutoingilia Mgogoro CUF......Aifananisha Opareshi UKUTA na Biskuti
Lipumba aitaka Chadema Kutoingilia Mgogoro CUF......Aifananisha Opareshi UKUTA na Biskuti

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba,  amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chad...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Mbowe aikumbuka Oparesheni UKUTA.....Asema Serikali inaendeshwa kwa hila
Mbowe aikumbuka Oparesheni UKUTA.....Asema Serikali inaendeshwa kwa hila

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema Demokrasia, Katiba na Sheria haziheshimiwi na ...

Read more »walumitz.blogspot.com
 
Top