0
Raheem Sterling: Scored twice as City brushed Vietnam asidemshambuliaji mpya wa klabu ya manchester city ameanza vizuri kuitumikia timu hiyo baada ya kufunga gori mbili na kuiwezesha timu yake kupata ushindi mnono wa gori 8-1
klabu ya manchester city ilifanikiwa kupata gori nne kipindi cha kwanza na kupata gori nyingine nne kwenye kipindi cha pili
 Aleksandar Kolarov na  David Silva nao wamefunga gori mbili Marcos Lopes na Jose Pozo wakakamilisha ushindi huo. Gori la vietnam limefungwa na an Queyet

Post a Comment Blogger

 
Top