1.Wexford vs Derry CityDerry City leo watakuwa ugenini Ferrycarrig kujihakikishia nafasi ya tatu kwaka msimamo wa ligi ya ireland kwa ushindi dhidi ya wexford youth ambao wanasua sua .. na wanapamba wasishuke daraja.. huku wexford youth wakiwa wa… Read more »walumitz.blogspot.com
Ubashiri wa baadhi ya mechi za leo....
baada ya jana kuanza vizuri.. leo tunaendelea....1. Konyaspor v Shakhtar Donetskbaada ya kutolewa kwenye champions league qualifiers Shaktar wamegeuzia nguvu zao kwenye Europa league kikosi kipo sawa na wameanza ligi vizur bila shaka ushindi leo ni w… Read more »walumitz.blogspot.com
Olimpiki: Mwanariadha wa Kenya Apokonywa Medali Kwa Kosa la Udanganyifu
Mwanariadha kutoka nchini Kenya aliyeshinda medali ya shaba kwenye riadha na kuruka vihunzi pamoja na maji, Ezekiel Kemboi amepokonywa medali yake kwa kosa la udanganyifu mchezoni kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendelea huko nchini Brazil.Kemb… Read more »walumitz.blogspot.com
UBAHILI WA ARSENAL NA UBORA WA WAPINZANI WAO MSIMU WA 2016-17
Na Mahmoud Rajab “Hatuwezi kushindana au kwashinda washindani wetu ambao wana pesa nyingi kuliko sisi. Tunapaswa kuwa makiini sana, kufanya machaguo sahihi.”Hayo nia aina ya maneno ambayo kwa miaka kadhaa sasa wamekuwa wakisikia kutoka kwa kocha… Read more »walumitz.blogspot.com
ujumbe wa basti schweinsteiger kwa mashabiki wa united
Bastian Schweinsteiger amesisitiza kwamba bado ana furaha kuishi jijini Manchester licha ya kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo na kocha Jose Mourinho. Mjerumani huyo ameondolewa na kuwekwa kwenye kikosi cha akiba na kocha Jose Mourinho, am… Read more »walumitz.blogspot.com
Hizi ndio Sababu kwanini Paul Pogba amefungiwa kucheza vs Bournemouth
Kiungo mpya wa Manchester United Paul Pogba amesimamishwa kuitumikia timu yake kwa mchezo wa kwanza wa Premier League, chama cha soka cha England kimethibitisha. Pogba, 23, alirejea Old Trafford kutoka Juventus kwa ada ya uhamisho iliyovunja re… Read more »walumitz.blogspot.com
Maamuzi ya Juan Mata baada ya kuhisi maisha Old Trafford yatakuwa magumu kwake
Kitendo cha kocha mpya wa Man United Jose Mourinho kumuingiza Juan Mata dakika ya 63 na kumtoa katika dakika za nyongeza katika mchezo wa ngao ya hisani dhidi ya Leicester City, kinaonekana kuchukuliwa tofauti na kutabiriwa kuwa maisha ya nyota hu… Read more »walumitz.blogspot.com
we are back in accumulator tips
Sligo Rovers vs Wexford Youths#pick Sligo Rovers AH -1.0#odds 2.05AH means Asian Handcappic.twitter.com/UPPZckW6j6— zotehapa (@zotehapa1) April 6, 2016… Read more »walumitz.blogspot.com
acculator tips 20/02/2016
Arsenal v Hull#odds 1.50Mansfield v Dagenham and Redbridge#odds 1.80Forest Green v Eastleigh#odds 1.95Harrogate Town v United of manchester#odds 1.60Le Havre v Creteil#odds 1.50AZ v FC Groningen#odds 1.51Pacos Ferreira v Benfica#odds 1.30PSV v Herac… Read more »walumitz.blogspot.com
mkeka wa handicap weekend hii (betting tips 20/02/2016)
Burnley v Rotherham#pick burnley Asian Handicap -1.0# odds 1.98Cagliari v Pescara#pick Cagiliar Asian Handcap -1.0# odds 2.30Pacos Ferreira v Benfica#pick Benfica Asian Handcap 1.5#odds 1.98… Read more »walumitz.blogspot.com
Arsenal vs Leicester City 2-1 All Goals & Highlights 2016
VIDEO::HIGHLIGHT ZA MECHI ZOTE ZA EPL JANA FEB 13
Chelsea v Newcastle 5-1 Norwich v WestHam 2-2 WBA v Everton 1-0 Sunderland v Manchester United 2-1 Bournemouth vs Stoke City 1-3 … Read more »walumitz.blogspot.com
Video ya magoli yote ya mechi ya Stand United Vs Simba Feb 13 2016, Full Time 1-2
Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba February 13 2016 ilishuka dimbani kuvaana na wenyeji wao klabu ya Stand United katika mchezo wake wa 19 wa Ligi Kuu Tanzania bara, Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Simba yalifungwa na Ham… Read more »walumitz.blogspot.com
timu ya RKC Waalwijk ya uholanzi yaikaribisha Valentines kipekee
timu ya RKC Waalwijk ya uholanzi imeaumua kuingia na wanawake wakiwa katika hali ya utupu badala ya watoto kama ilivyo zoelekakatika mechi yao ya jana dhidi ya Emem Fcmchezo uliomalizika 0-1Wedstrijd is begonnen in Waalwijk #rkcemm pic.twitter.com/lT… Read more »walumitz.blogspot.com
West ham wampa mkataba mpya mchezaji Dimitri Payet
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa Ufaransa na klabu ya West ham, Dimitri Payet amesani tena mkataba mpya wa miaka mitano na timu yake hiyo.Payet mwenye umri wa 28 alijiunga na West ham ya Jijini London msimu uliopita akitokea timu Marseille kwa da… Read more »walumitz.blogspot.com
Kwa mara ya kwanza Jose Mourinho kavunja ukimya kuhusu stori za yeye kurudi katika soka …
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kwa kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho, February 7 karudi kwenye headlines na kauli mpya baada ya kutokuwa tayari kuzungumzia soka, Jose Mourinho ameamua kuzungumzia soka ikiwa ni wiki sita zimepita… Read more »walumitz.blogspot.com
betting tips za leo 07/02/2016
double betReal betis vs Valencia#pick Valencia DNB odds 1.98Bournemouth vs Arsenal#pick Arsenal A.H 1.0 odds 2.55total odds 5.04 kama huelewi handicap za meridian na kwingineko bofya hap… Read more »walumitz.blogspot.com