BAADA ya mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade, maarufu kama Jonny Crooner kutokana na wimbo wake, kushindwa katika mpambano wa Tuzo za BET nchini Marekani, amewashambulia waandaji wa mashindano hayo kwamba hawakuwafanyia haki waimbaji kutoka Afrika.
Aliongeza kwamba iwapo atachaguliwa tena kushiriki BET, hilo anamuachia Mungu ambaye ndiye Hubariki na si binadamu. Iwapo Mungu ataendelea kunibariki, hakuna awezaye kulizuia jambo hilo.”
SOURCE; global publishers
Post a Comment Blogger Facebook