0
Mwanzilishi mwenza Roc-A-Fella Records aeleza alivyochukulia dongo la Kanye West la Jay Z
Mwanzilishi mwenza Roc-A-Fella Records aeleza alivyochukulia dongo la Kanye West la Jay Z

Mwanzilishi mwenza wa label ya Roc-A-Fella Records, Kareem ‘Biggs’ Burke amezungumzia dongo la Kanye West kwa swahiba wake, Jay Z. “Nilishtuka kusikia kile Kanye alikisema jukwaani,” alisema Burke wakati wa kuadhimisha miaka 20 ya album ya Jay Z, R… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
24Oct2016

0
Ciara na Russell Wilson wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza
Ciara na Russell Wilson wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza

Ciara na mumewe Russell Wilson wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza – kwa mujibu wa mtandao wa E! News. Mmoja wa watu wa karibu wa familia hiyo ameuambia mtandao huo kuwa Ciara ni mjamzito na anatarajia kuitwa mama tena hivi karibuni. “Ciara is p… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
22Oct2016

0
 Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa nukuu hizi
Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa nukuu hizi

Leo watanzania wanaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amefariki dunia. Alifariki tarehe 14 Oktoba, 1999 huko Uingereza alipokuwa kwenye matibabu. Kitaifa maadhimisho haya yanaenda sambamba na uzimwaji wa Mweng… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Picha: Tunda Man afanya ‘Send-off’ na mrembo huyu
Picha: Tunda Man afanya ‘Send-off’ na mrembo huyu

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Tunda Man pamoja na mpenzi wake wa muda mrefu wamefanya ‘send-off’ wakijiandaa kuingia katika maisha ya ndoa. Alhamisi hii usiku zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha Tunda Man pamoja… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Picha: Barakah The Prince aonyesha mjengo wake wa kisasa
Picha: Barakah The Prince aonyesha mjengo wake wa kisasa

Msanii wa muziki, Barakah The Prince ameonyesha mafanikio aliyopata kwenye muziki kwa kujenga nyumba kubwa yenye vyumba 5 huku nje akiwa ameweka sehemu ya kuogelea (Swimming Pool). Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Nisamehe’ akiwa ame… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Diamond Afunguka Asema Zari Ndiye Model Aliyewahi Kumlipa Hela Nyingi
Diamond Afunguka Asema Zari Ndiye Model Aliyewahi Kumlipa Hela Nyingi

Mkali wa wimbo ‘Salome’ na Mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema katika ma Model ambao amewahi kuwalipa hela nyingi ni Zari ambaye ni mpenzi wake na Mama watoto wake pia.Diamond Platnumz akiongea katika kipindi cha The play list cha Radio Ti… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
07Oct2016

0
Hacker achukua account ya Instagram ya mwanamuziki chege ampiga mkwala wa nguvu na kumpa masharti haya
Hacker achukua account ya Instagram ya mwanamuziki chege ampiga mkwala wa nguvu na kumpa masharti haya

Account ya Chege Chigunda imehakiwa na Hacker leo na Hacker huyo ametoa msimamo wake kama alivyoandika kupitia Instagram Account hiyo ya Chege :#Regrann from #chegechigunda - Baada ya maisha kuwa magumu na Serikali kutogawa ajira kazi tu kunyakunyaku… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
29Sep2016

0
Future kutumbuiza MTV MAMA pamoja na Diamond na Alikiba
Future kutumbuiza MTV MAMA pamoja na Diamond na Alikiba

Rapper wa Marekani, Future, ametangazwa kuwa msanii wa nje ya Afrika atakayetumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22.Future ataungana na Alikiba na Diamond na wasanii wengine wa Afrika kwenye orodha ya wale watakaotumbuiza jioni hiyo jijini Johann… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
29Sep2016

0
Nuh Mziwanda azinguana na uongozi wake adai viongozi wanataka umaarufu tu kuliko kazi
Nuh Mziwanda azinguana na uongozi wake adai viongozi wanataka umaarufu tu kuliko kazi

Mkali wa wimbo ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda amezinguana na uongozi wake ambao alikuwa anafanya nao kazi kwa madai umeshindwa kufanya kazi aliyoitaka.Mapema mwaka huu Petit Man alimchukua msanii huyo na kuamua kumsimamia ikiwa ni wiki chache toka aachane… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
29Sep2016

0
Agness masogange aamua kupima ukimwi na kutuonyesha kukata mzizi wa fitna
Agness masogange aamua kupima ukimwi na kutuonyesha kukata mzizi wa fitna

Baada ya Mrembo Tunda kuanika Majibu yake ya Ngoma tukayaona...Agnes Masogange nayeye awafunga midomo walikuwa wakimsema ana Ugonjwa...Aanika wazi majibu yake. .imethibishwa kuwa Hana HIV...je ukipata nafasi utamshauri nini? ?? Tia neno kwako… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
28Sep2016

0
Kupatwa kwa Mrembo Huddah azama kimapenzi kwa mchaga
Kupatwa kwa Mrembo Huddah azama kimapenzi kwa mchaga

Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo HandsomeTaz… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
28Sep2016

0
Alikiba atajwa kuwania tuzo za MTV EMA diamond aachwa mwaka huu
Alikiba atajwa kuwania tuzo za MTV EMA diamond aachwa mwaka huu

Anakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kutajwa kuwania kipengele hicho. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Sep2016

0
Ray c ashindwa kuvumilia jinsi anavyompenda Diamond afunguka asema hivi
Ray c ashindwa kuvumilia jinsi anavyompenda Diamond afunguka asema hivi

Ray C Ashindwa Kuvumilia Anavyompenda Diamond....Aamua kufunguka kama hivi kupitia mtandao wa Instagram:From Rayc1982 - Seriously Namaste lil bhaia!ngoja niwe mkweli wa nafsi yangu nipate nafuu dude!that Salome of Yours is damn hot!The Powerful coupl… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Sep2016

0
Vanessa mdee afunguka kwa Mara ya kwanza kutoka kimapenzi na Trey Songz
Vanessa mdee afunguka kwa Mara ya kwanza kutoka kimapenzi na Trey Songz

Kuna tetesi, picha na video zimesambaa mtandaoni zinazoonesha ukaribu kati ya nyota wa muziki wa R&B nchini Marekani, Trey Songz na Vanessa Mdee, zinazotafsiriwa kuwa huenda wakawa wameenda hatua ya juu zaidi ya kile walichokuwa wakikifanya Nairobi, … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Sep2016

0
Baada ya kuzushiwa kifo bilionea Dangote ameyasema haya
Baada ya kuzushiwa kifo bilionea Dangote ameyasema haya

Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.Taarifa hizo zinaeleza kuwa bilionea huyo amefariki akiwa nchini Ujerumani baada ya kuugua kwa muda mf… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Sep2016

0
Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani
Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani

Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na muda wote kupiga picha akiwa kwenye m… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Sep2016

0
Pamoja na Drama Zote Alizompa Sugu...FAIZA Ally Anampenda Mbunge Sugu Kupindukia...Soma Alichoandika Hapa
Pamoja na Drama Zote Alizompa Sugu...FAIZA Ally Anampenda Mbunge Sugu Kupindukia...Soma Alichoandika Hapa

Msanii wa filamu, Faiza Ally wakati inaelekea siku ya birthday ya mtoto wake Sasha, amefunguka na kueleza yamoyoni juu ya baba watoto wake, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.Sugu na FaizaMwigizaji huyo ambaye anajipanga kuachia filamu yake mpya ‘Baby Mama … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Sep2016

0
Familia ya Diamond Yaikacha Sherehe ya Birthday ya Zari Iliyofanyika Zanzibar...Mabifu Yaibuka Upya
Familia ya Diamond Yaikacha Sherehe ya Birthday ya Zari Iliyofanyika Zanzibar...Mabifu Yaibuka Upya

MWISHONI mwa wiki iliyopita (juzi Ijumaa usiku) ilifanyika pati ya kusherehekea kuzaliwa kwa mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ambayo imeibua mabifu upya. Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa wachache kutok… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Sep2016

0
Drake ameachia filamu yake mpya aliyoahidi kuiachia Septemba 30
Drake ameachia filamu yake mpya aliyoahidi kuiachia Septemba 30

Rapper Drake ameachia filamu yake mpya fupi yenye dakika 23 ya Please Forgive Me ambayo imetokana na albamu yake ya ‘Views’. Filamu hiyo imetengenezwa kwenye mji wa Johannesburg, Afrika Kusini mwezi Julai. Watu kama Popcaan, Fanny Neguesha, Soni Ch… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Sep2016

0
Young Killer kufunga ndoa muda wowote
Young Killer kufunga ndoa muda wowote

Rapper Young Killer Msodoki amesema muda wowote kuanzia sasa atafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Halimaty. Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Young Killer amesema kila kitu kipo tayari na siku yoyote atafunga ndoa. “Kusema kweli sasa hivi tupo k… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Sep2016
 
 
Top