Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na  bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa (pichani) amesema kikosi chake kipo  tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali  za Mataifa ya Afrika mwaka 2017.Akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, Mkwasa amesema vijana  wake wapo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo huo wa kesho ambao ni  muhimu kwa Taifa Stars.“Tumefanya mazoezi kwa takribani siku kumi,  vijana wako katika hali nzuri ya mchezo, uwezo waanaouonyesha mazoezini  ni wa hali ya juu na unatupa matumaini ya kufanya vizuri” Alisema  Mkwasa.Aidha Mkwasa amesema katika mpira hakuna kinachoshindakana,  anatambua Nigeria ni timu kubwa Afrika, wameshatwaa ubingwa wa Afrika  mara tatu, lakini mpira wa sasa lolote linaweza kutokea, hivyo sisi  tumejiandaa vilivyo kufanya vizuri katika mchezo huo.Mwisho Mkwasa  amesema wamejindaa vizuri kwa mchezo huo wa kesho, na kuwaomba  watanzania kuja kuwapa sapoti wachezaji uwanjani kwa kuwashangilia muda  wote wa mchezo, na kusema kikosi chake hakina mchezaji majeruhi hata  mmoja kuelekea kwa mechi hiyo.Mechi hiyo ya kesho jumamosi itachezeshwa  na waamuzi kutoka nchini Rwanda ambao ni Louis Hakizimana (mwamuzi wa  kati) Honore Simba (mwamuzi msaidizi), Jean Bosco Niyitegeka (mwamuzi  msaidizi), Abdoul Karim Twagiramukiza (mwamuzi wa akiba) na kamisaaa wa  mchezo ni Charles Kasembe kutoka nchini Uganda ambao wote tayari  wameshawaili jijini Dar es salaam tangu jana jioni.
katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, Mkwasa amesema vijana  wake wapo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo huo wa kesho ambao ni  muhimu kwa Taifa Stars.“Tumefanya mazoezi kwa takribani siku kumi,  vijana wako katika hali nzuri ya mchezo, uwezo waanaouonyesha mazoezini  ni wa hali ya juu na unatupa matumaini ya kufanya vizuri” Alisema  Mkwasa.Aidha Mkwasa amesema katika mpira hakuna kinachoshindakana,  anatambua Nigeria ni timu kubwa Afrika, wameshatwaa ubingwa wa Afrika  mara tatu, lakini mpira wa sasa lolote linaweza kutokea, hivyo sisi  tumejiandaa vilivyo kufanya vizuri katika mchezo huo.Mwisho Mkwasa  amesema wamejindaa vizuri kwa mchezo huo wa kesho, na kuwaomba  watanzania kuja kuwapa sapoti wachezaji uwanjani kwa kuwashangilia muda  wote wa mchezo, na kusema kikosi chake hakina mchezaji majeruhi hata  mmoja kuelekea kwa mechi hiyo.Mechi hiyo ya kesho jumamosi itachezeshwa  na waamuzi kutoka nchini Rwanda ambao ni Louis Hakizimana (mwamuzi wa  kati) Honore Simba (mwamuzi msaidizi), Jean Bosco Niyitegeka (mwamuzi  msaidizi), Abdoul Karim Twagiramukiza (mwamuzi wa akiba) na kamisaaa wa  mchezo ni Charles Kasembe kutoka nchini Uganda ambao wote tayari  wameshawaili jijini Dar es salaam tangu jana jioni.                         

Post a Comment Blogger Facebook