 https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=796061370179622152#editor/target=post;postID=4474207417823029533BAADA
https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=796061370179622152#editor/target=post;postID=4474207417823029533BAADA ya kufunga rasmi ndoa ya kimila nchini Naija,  staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh amefunguka kuwa pete  aliyovishwa na mchumba wake, Mr. X, Oladunni kwenye harusi yake ina  gharama ya shilingi milioni 20

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto alitupia picha ya pete hiyo na  kuambatanisha na maneno yaliyosomeka; “Mungu amebariki ndoa hii takatifu  imetimia, utambulisho umetimia, posa imetimia na ndoa ya kimila  imetimia na sasa hivi ni ndoa kubwa.”
Post a Comment Blogger Facebook