Waziri wa Elimu Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Bodi Ya Mikopo Kwa Utendaji Mbovu 0 udaku 11:50:00 AM A+ A- Print Email Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amemfuta kazi Mkurugenzi wa bodi ya mikopo na wakurugenzi wengine wa nne kutokana na utendaji mbovu katika kuendesha bodi hiyo.
Post a Comment Blogger Facebook