 Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda  kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya  wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na  muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu  na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....
Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda  kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya  wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na  muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu  na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....Nimekuwekea majibu yake hapa chini:

 
Post a Comment Blogger Facebook