0
Orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za mwaka huu za MTV MAMA imetoka. Wasanii hao ni pamoja na Yemi Alade, Nasty C na Babes Wodumo.
mgid-arc-content-mtvbase
Tuzo hizo zitatolewa jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Jumamosi, October 22. Zaidi ya watu 15,000 wanatarajiwa kushuhudia tuzo hizo kwenye ukumbi huo.
Mwaka huu kutakuwa na jumla ya vipengele 18 ambapo majina ya wanaowania yatatangazwa September 22 jijini Johannesburg, na Lagos, October 2.
Vipengele vya mwaka huu ni pamoja:
1. Best Male
2. Best Female
3. Best Group
4. Best Breakthrough Act
5. Best Live Act
6. Best Francophone
7. Best Lusophone
8. Best Pop/Alternative
9. Best Hip Hop in association with MTN
10. Best International Act
11. Legend Award
12. Best Collaboration in partnership with Absolut
13. Video of the Year
14. Song of the Year in partnership with Google
15. Artist of the Year
16. Personality of the Year
17. MTV Base Africa Re-Imagined Award
18. Listener’s Choice

Post a Comment Blogger

 
Top