0
Victoria Kimani aachia single ya kwanza ya Kiswahili ‘Gota’
Victoria Kimani aachia single ya kwanza ya Kiswahili ‘Gota’

Kwa muda mrefu Wakenya walikuwa wakidai kutozielewa nyimbo za Victoria Kimani na yeye mwenyewe mara kibao amewahi kulalamika kutopewa supp...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Matonya kuja na ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’, ni project ya kundi lake jipya ‘Black Image’
Matonya kuja na ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’, ni project ya kundi lake jipya ‘Black Image’

Msanii mkongwe wa muziki Matonya ameweka wazi ujio wa kundi lake jipya ‘Black Image’ likiwa na project mpya ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’. Mui...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Ben Pol kuja na remix ya Moyo Mashine akiwa na Chidinma
Ben Pol kuja na remix ya Moyo Mashine akiwa na Chidinma

Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Ben Pol amesema anatarajia kuja na remix ya wimbo wake, Moyo Mashine akiwa na msanii wa Nigeria, Chidinma. Had...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Trey Songz kuupamba msimu wa 4 wa Coke Studio Africa
Trey Songz kuupamba msimu wa 4 wa Coke Studio Africa

Muimbaji wa RnB kutoka Marekani, Trey Songz anatarajiwa kuungana na wasanii wengine wa Afrika ambao watashiriki kwenye msimu wa nne wa kipin...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Christian Bella aeleza siri ya kufanya vizuri katika show zake
Christian Bella aeleza siri ya kufanya vizuri katika show zake

Mkali wa masauti Christian Bella amesema kigezo pekee cha kuwa na hit song hakiwezi kumfanya msanii afanye vizuri katika show zake. Akiongea...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Alikiba azungumzia ngoma 5 atakazo ziachia mwaka huu baada ya "Aje"
Alikiba azungumzia ngoma 5 atakazo ziachia mwaka huu baada ya "Aje"
Read more »walumitz.blogspot.com

0
Hawa ni wasanii wengine watakaoungana na Alikiba kutumbuiza kwenye MTV MAMA
Hawa ni wasanii wengine watakaoungana na Alikiba kutumbuiza kwenye MTV MAMA

Yemi Alade, Ycee, Cassper Nyovest na Alikiba wanatarajiwa kuwasha moto kwa kutumbuiza kwenye kilele cha tuzo za MTV MAMA 2016. Tuzo hizo zit...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Mengi yanakuja kutoka kwenye brand ya Yamoto Band, tumeanza na hizi nguo – Fela
Mengi yanakuja kutoka kwenye brand ya Yamoto Band, tumeanza na hizi nguo – Fela

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Foundation na Yamoto Band, Mkubwa Fela amewataka mashabiki wa muziki kusubiria mambo makubwa kutoka katika ...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
TAZAMA Video Mpya: Sauti Sol - Kuliko Jana!  Sauti Sol - Kuliko Jana Featuring RedFourth Chorus (Upper Hill School)
TAZAMA Video Mpya: Sauti Sol - Kuliko Jana! Sauti Sol - Kuliko Jana Featuring RedFourth Chorus (Upper Hill School)

Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka nchini Kenya limezidi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki barani Afrika na nje ya Afrika. Hapa chini...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Perfect Combo ya Joh Makini yatikisa kwenye Top 10 ya redio Nigeria
Perfect Combo ya Joh Makini yatikisa kwenye Top 10 ya redio Nigeria

Ni ukweli usiopingika kwa sasa muziki wa Bongo unazidi kutoboa kwenye nchi nyingi barani Afrika. Wimbo wa Perfect Combo wa Joh Makini alio...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Nuh Mziwanda adai kuibiwa Idea ya "Inde" na Dully Sykes
Nuh Mziwanda adai kuibiwa Idea ya "Inde" na Dully Sykes
Read more »walumitz.blogspot.com

0
Alikiba kutumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22
Alikiba kutumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22

Muimbaji wa Aje, Alikiba ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA huko Johannesburg, Afrika Kusini. Kupitia mtandao...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Watanzania ni wakarimu, nimepata mashabiki wengi – Zahara, model wa Nagharamia (Video)
Watanzania ni wakarimu, nimepata mashabiki wengi – Zahara, model wa Nagharamia (Video)

Model aliyeonekana kwenye video ya wimbo wa Alikiba na Christian Bella, ‘Nagharamia’, Tanasha Oketch maarufu kama Zahara Zaire, amesema ta...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Surprise ya King kiba Show ya Mombasa Yawajambisha Mapovu WCB, Meneja wa Diamond Arusha Madongo Gizani
Surprise ya King kiba Show ya Mombasa Yawajambisha Mapovu WCB, Meneja wa Diamond Arusha Madongo Gizani

Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise Hali hiyo iliji...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Linex kufanya kolabo na Jose Chameleone
Linex kufanya kolabo na Jose Chameleone

Msanii wa muziki nchini, Linex Sunday Mjeda ameweka wazi mpango wake wa kufanya kolabo na staa wa muziki kutoka nchini Uganda, Dr. Jose Ch...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Barnaba asema video ya wimbo ‘Lover Boy’ ni jibu kwa waliokuwa wanamhoji kuhusu video kubwa
Barnaba asema video ya wimbo ‘Lover Boy’ ni jibu kwa waliokuwa wanamhoji kuhusu video kubwa

Msanii na mtayarishaji wa muziki wa ‘High Table Sound’ Barnaba amesema ameshangazwa na mapokezi makubwa ya video yake mpya ya wimbo ‘Lover...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Chidi benzi Adaiwa Karudia Matumizi ya Madawa ya Kulevya
Chidi benzi Adaiwa Karudia Matumizi ya Madawa ya Kulevya

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, hatimaye Chidi benzi licha ya kuripoti hapo awali ya kuwa ameachana na madawa ya kulevya na kurudi ...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Nisamehe ya Barakah Da Prince na Alikiba kuachiwa Jumanne
Nisamehe ya Barakah Da Prince na Alikiba kuachiwa Jumanne

Baada ya mashabiki kuisubiria kwa hamu collabo ya kwanza ya label mates wa Rockstar4000, Barakah Da Prince na Alikiba, sasa imethibitishwa ...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Nilikunywa Pombe Kutoa Aibu Kwenye Video ya ‘Natafuta kiki’-Shilole
Nilikunywa Pombe Kutoa Aibu Kwenye Video ya ‘Natafuta kiki’-Shilole

Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amefunguka na kusema ilikuwa ni jambo gumu kwake kufanya video ya ‘Nat...

Read more »walumitz.blogspot.com

0
Show za Mr Blue Fiesta Wengi Wadai Ndio Msanii Bora wa Tanzania Kwa Sasa.....
Show za Mr Blue Fiesta Wengi Wadai Ndio Msanii Bora wa Tanzania Kwa Sasa.....

Kwa mujibu wa Mrisho Mpoto, Harry Sameer, wamjua zaidi kama Mr Blue, anastahili kuwa msanii bora Tanzania. Mpoto alidiriki kusema hivyo baad...

Read more »walumitz.blogspot.com
 
Top