Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani, Toni
Kroos ameongeza mkataba mrefu ambao utaisha mwaka 2022 akiwa bado na
Real Madrid.
Toni ana umri wa miaka 26, hadi miaka saba ijayo, atakuwa anakwenda kustaafu soka au anaondoka kwenye soka la ushindani.
Toni ana umri wa miaka 26, hadi miaka saba ijayo, atakuwa anakwenda kustaafu soka au anaondoka kwenye soka la ushindani.
Post a Comment Blogger Facebook