Jumapili ya October 13 2016, Makamu wa Rais wa Simba Kaburu alimkabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu wa mwezi September mchezaji Shiza Kichuya kabla ya mechi dhidi ya Toto Africans. Kichuya alisaidia mechi zilizo pita Simba kupata ushindi na kufu… Read more »walumitz.blogspot.com
Renato ameshinda tuzo ya “European Golden Boy 2016”
Mchezaji wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ureno, Renato Sanches, ambaye ana miaka 19, ameshinda tuzo ya “European Golden Boy 2016” akiwashinda wachezaji wenzake Marcus Rashford,Kinglsey Coman na wachezaji wengine waliokuwa katika kiny… Read more »walumitz.blogspot.com
Toni Kroos asaini mkataba mpya Real Madrid
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani, Toni Kroos ameongeza mkataba mrefu ambao utaisha mwaka 2022 akiwa bado na Real Madrid. Toni ana umri wa miaka 26, hadi miaka saba ijayo, atakuwa anakwenda kustaafu soka au anaondoka kw… Read more »walumitz.blogspot.com
Pogba: Napenda kocha Jose Mourinho anichezeshe mbele zaidi
Mchezaji ghali zaidi kwasasa duniani kiungo Paul Pogba amesema kuwa anapenda kocha Jose Mourinho amchezeshe mbele zaidi katika kikosi cha Man United. Tangu aliporejee katika klabu ya Manchester United kwa pauni milioni 89, Pogba amekuwa akichezesh… Read more »walumitz.blogspot.com
Hull city yamtangaza rasmi Phelan kuwa kocha mkuu
klabu ya Hull City imemtangaza rasmi Mike Phelan,kuwa kocha wa kudumu Phelan,54, amekuwa kocha wa muda wa klabu hiyo tangu mwezi julai mwaka huu kufuatia kocha Steve Bruce kuondoka klabuni hapo. Mwanzo mzuri katika ligi kuu ya England kwa kocha huy… Read more »walumitz.blogspot.com
Chelsea waingia mkataba mnono na Nike
Klabu ya Chelsea Alhamisi hii imetangaza rasmi kuwa wameingia mkataba na kampuni ya utengenezaji vifaa na jezi ya Nike,utakaoanza msimu wa 2017/2018. Imeripotiwa kuwa mkataba huo ni wa miaka 15 na una thamani ya pauni milioni 60 kwa mwaka, wakati … Read more »walumitz.blogspot.com
Tokea ametua ubelgiji takwimu zinaonyesha samatta ni hatari zaidi dakika 20 za mwisho
Mshambuliaji Mbwana Samatta akiwa na timu yake ya KRC Genk amefikisha mabao sita ukijumlisha yale ya Ligi Kuu ya Ubeligiji pamoja na mechi za Europa.Katika mabao hayo sita, mawili ni ya Europa na manne ni ya ligi lakini inaonekan Samatta ni hatari za… Read more »walumitz.blogspot.com
Stand united yaweka record
0 CommentsTIMU ya Stand United imeweka rekodi msimu huu kwa kucheza michezo sita pasipo kupoteza, ikishika nafasi ya pili nyuma ya vinara Simba inayoshika nafasi ya kwanza bila kufungwa pia. Stand United inashika nafasi ya pili ikiwa na pointi 12 na … Read more »walumitz.blogspot.com
LEADERS Simba made a sky-high leap to the league table with voluminous 4-0 win
Simba have now six points ahead of their close pursuers Azam and Young Africans. Mbeya City who had a good start, also lost 2-1 to JKT Ruvu in the match held yesterday at their Mabatini home ground in Mlandizi, Coast Region.The defeats of the form… Read more »walumitz.blogspot.com
Ubashiri wa baadhi ya mechi za leo... 16/09/2016
1.Wexford vs Derry CityDerry City leo watakuwa ugenini Ferrycarrig kujihakikishia nafasi ya tatu kwaka msimamo wa ligi ya ireland kwa ushindi dhidi ya wexford youth ambao wanasua sua .. na wanapamba wasishuke daraja.. huku wexford youth wakiwa wa… Read more »walumitz.blogspot.com
Mourinho atoa sababu ya kumwacha Rooney katika safari ya Uholanzi
Nahodha wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney hajajumuishwa katika kikosi kilichosafiri kwenda Uholanzi kwa ajili ya mechi ya Europa ligi dhidi ya Feyenoord. Jose Mourinho akiongea na waandishi wa habari amesema haya kuhusu Wayne Rooney “Amec… Read more »walumitz.blogspot.com
Phil Jones kuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja
Beki wa klabu ya Manchester United, Phil Jones anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na matatizo ya goti aliyoyapata akiwa mazoezini. Kocha wa timu hiyo Jose Mourinho amethibitisha kuhusu tatizo hilo na kusema kuwa uchung… Read more »walumitz.blogspot.com
Ubashiri wa baadhi ya mechi za leo....
baada ya jana kuanza vizuri.. leo tunaendelea....1. Konyaspor v Shakhtar Donetskbaada ya kutolewa kwenye champions league qualifiers Shaktar wamegeuzia nguvu zao kwenye Europa league kikosi kipo sawa na wameanza ligi vizur bila shaka ushindi leo ni w… Read more »walumitz.blogspot.com
Samatta na Victor Wanyama watoa pole kwa wahanga wa tetemeko la ardhi
Wachezaji wa soka wa kimataifa, Mbwana Samatta anayechezea klabu ya Ubelgiji, KRC Genk na Mkenya, Victor Wanyama anayekipiga na Tottenham Hotspur wameungana na wananchi wengine kuwapa pole wahanga wa tetemeko la ardhi, lilitokea hivi karibuni huko Ka… Read more »walumitz.blogspot.com
Mark Hughes afunguliwa mashtaka na FA kwa utovu wa nidhamu
Kocha wa klabu ya Stoke City Mark Hughes, amefunguliwa mashtaka na Chama cha soka nchini England (FA) kufuatia utiovu wa nidhamu aliouonyesha wakati wa mchezo wa ligi kuu uliochezwa mwishoni mwa juma lililopita dhidi ya Tottenham.Katika mchezo huo St… Read more »walumitz.blogspot.com
TFF yataja makundi ya timu zitakazoshiriki ligi daraja la pili
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki ligi daraja la pili ((SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu.Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB), chombo maalumu cha kusimamia michezo inayoendes… Read more »walumitz.blogspot.com
Mark Clattenburg kuchezesha Manchester Derby Jumamosi hii
Mark Clattenburg ametangazwa kuwa ni mwamuzi katika Manchester Derby Jumamosi hii katika uwanja wa Old Trafford.Waamuzi wengine ni Mike Dean aliyetajwa kama kamishna wa mchezo (fourth official), wakati Jake Collins na Steve Bennett wametajwa kukaa pe… Read more »walumitz.blogspot.com
Mchezaji Mpira Avunjiwa Mkataba Baada ya Kugundulika Ana Virusi
Zikiwa zimepita siku nne tu tangu asajiliwe na klabu ya Al Ittihad inayoshiki ligi kuu ya Misri, Samuel Nlend, 21, mkataba wake umevunjwa baada ya klabu yake mpya kugundua mchezaji huyo anamaambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).Jarid linalojulikana… Read more »walumitz.blogspot.com
Jose Mourinho Ampiga Mkwara Rashford
MWACHENI Jose Mourinho na kiburi chake aisee. Ungeweza kudhani angetoa maneno ya kufariji kwa kinda Marcus Rashford baada ya juzi kuibuka na ushujaa wa dakika za mwisho katika pambano gumu dhidi ya Hull City ugenini. Mourinho bado hajalainika kira… Read more »walumitz.blogspot.com
Manuel Pellegrini atangazwa kocha mpya wa timu ya Hebei China Fortune
Kocha wa zamani wa Man City Manuel Pellegrini ametangazwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hebei China Fortune inayoshiriki ligi kuu ya China. Pellegrini,62, anaenda kukinoa kikosi hicho chenye nyota wa zamani wa Psg Ezequiel Lavezzi, pia yup… Read more »walumitz.blogspot.com