0

Irene Uwoya anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko Tabora kwa tiketi ya CCM , Bunge linajaa wasanii hali ya kuwa msanii mwenzao Oktoba anaachia Ikulu sasa nani atawapendelea hawa.

Naelewa Pombe ni Mwanasayansi na sio msanii,kweli ataendana na hawa wasanii?

Na ni kwanini hawa wasanii wakike hawajiamini wanachukua za viti maalum

Post a Comment Blogger

 
Top