0
Hakuna Presidential material of all aspirants from both sides anayemzidi Magufuli.

Hatahivyo, inasaidia kudhihirisha kuwa Magufuli ni Presidential material through a negative means.Mungu alimchagua Magufuli akiwa hajijui sio wengine wanahonga hadi kuhama Chama kuutafuta URAIS.

"Mkutano mkuu jueni mtakayemtangaza kuwa mgombea inawezekana na sina shaka juu ya hilo kuwa mtakuwa mmetangaza rais wa nchi." Mwl Nyerere.

Naamini kuwa kuhama kwa Edward Lowasa itakuwa faida chama Chake (CCM).Kuna baadhi ya wenye imani wanaita "Purging" hususan Kwa wenye imani isiyo na utata wanaita "kupepetwa".Maana yake ni kubakiza ngano na kuhakikisha makapi sio future ya nchi hii.

Sasa hebu jiulize swali la Hekima, Magufuli na Edward Lowassa Nani anahaki mbele ya Umma! Hata tu kwa wapinzani.

Iwapo magufuli atashindwa hatakuwa ameshindwa kwa sababu ya uwezo mdogo ila kwa sababu wananchi wengi hatujui kilichochema kwetu

Watu wa CDM walio waadilifu kutoka moyoni ambao national interests ni priority yao sasa ndiyo wakati wao wa kuachana ma dhambi hii.Kuwepo kwa Magufuli ni Ushindi wa Wazi kuwa CCM imekataa Rushwa ila CDM naona inaipokea rishwa.

I'm trying to be honest, rational and sincere. Magufuli hakujua wala hakuandaliwa kuishika nafasi ya Rais kupitia CCM. It was simply a divine providence

Ikulu ya November Nyerere cha Mtoto Magufuli akiwa Amirijeshi. Nchi itatakasika na sote tutapona vizazi vyote. Mungu ibariki Tanzania

-KATEMI METHSELA

posted from Bloggeroid

Post a Comment Blogger

 
Top