Mayasa Mariwata
Staa wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mwigizaji wa sinema za Kibongo, Sarah Mvungi amefunguka juu ya mwimbaji mwenzake, Rose Muhando kutaka kuhama Ukristo na kurudi kwenye Uislam
“Rose hajielewi, anapaswa kumlilia Mungu ili amuepushe na yanayomsibu (tuhuma za utapeli). Kuhamahama dini ni sawa na kumchezea Mungu au pengine neno halikumuiingia vizuri,” alisema Sarah. Jitihada za kumpata Rose ili kuzungumzia ishu hiyo zikigonga mwamba.
Post a Comment Blogger Facebook