0
Thomas Muller
 ukiachilia mbali tetesi za kwamba klabu ya Manchester United kuvutiwa na mchezaji huyu na kutenga dau la £70m kwa ajili ya kumsajili star huyoo wa ujerumani lakini leo mchana
Mwenyekiti wa klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge akihojiwa na waandishi wa habari amesisitiza kuwa Thomas Muller hauzwi atabaki kuwepo klabuni hapo na huku akiendelea kusema itakuwa ni ukosefu wa akili kumuuza Muller maana ni mchezeji asiye kuwa na dau la kuuzwa
hizi ni habari mbaya kwa mashabiki wa machester united

Post a Comment Blogger

 
Top