0
Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo.
 
Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku katika eneo hilo ambalo majambazi hayo walikuwa wamejificha.
 
Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Polisi wameweka kizuizi cha barabara eneo la Kongowe, wilayani Mkuranga ambapo  magari yote yanayotoka na kuingia Dar yanapekuliwa.

Post a Comment Blogger

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top