Update: Majambazi Kadhaa Yauawa Katika Mapigano na Jeshi la Polisi huko Mkuranga
Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo. Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku katika eneo hilo ambalo majambazi hayo walikuwa wa… Read more »walumitz.blogspot.com
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Adaiwa Kukamatwa na Polisi Leo Asubuhi
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi leo alfajiri na anashikiliwa kituo cha kati.Sababu za kukamatwa kwake bado hazijawekwa wazi… Read more »walumitz.blogspot.com
Bosi wa TPDC Asimamishwa Kazi
BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Dk James Mataragio.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya shirika hilo na wadau mbalimbali wa masuala ya mafuta na gesi, zim… Read more »walumitz.blogspot.com
Wasanii Wapenda Amani Waungana Kupinga Maandamano UKUTA Ya Chadema
WASANII mbalimbali wanaopenda amani wameungana kwa pamoja kupinga maandamano ya UKUTA yanayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi, mwaka huu.Akizungumza jana mbele ya Waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa Wasanii hao wapenda amani, Steve Nyerere alisema ha… Read more »walumitz.blogspot.com
VIDEO;SONGOMBINGO YA PROFESA LIPUMBA KUJIUZULU NA BAADAYE KUUTAKA UENYEKITI WA...
Vyama 10 Vya Upinzani Vyaungana Kuupinga UKUTA Wa Chadema
VIONGOZI wa vyama vya siasa wanaounda Klabu ya Viongozi wamesema hawaungi mkono maandamano yaliyopangwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika kulinda amani ya nchi.Mwenyekiti wa klabu hiyo, Fahmi Dovutwa alisema uamuzi wa kutounga… Read more »walumitz.blogspot.com
Shibuda: Msindai, Mpendazowe Wanafiki
HATUA ya Fredy Mpendazowe na Mgana Msindai kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatokana na kuhangaikia maslahi binafsi, anaandika Dany Tibason.Msindai, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chade… Read more »walumitz.blogspot.com
Mke wa LOWASSA Aondolewa Mkutanoni Simiyu na Kupitishwa Mlango wa Nyuma Kisa Hichi Hapa
MGOGORO wa vyama viwili vya siasa CUF na CHADEMA ambavyo vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, juzi ulichukua sura mpya.Hali hiyo inatokana na mgombea mmoja wa ubunge wa jimbo hilo kupitia CUF, Ma… Read more »walumitz.blogspot.com
MAMA SAMIA KATIKA UBORA WAKE KATIKA MAJIMBO YA MONDULI NA LONGIDO MKOANI ARUSHA
Wananchi wakiwa wamejawa hamasa kwa nyimbo na nderemo wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassam, alipowasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni za CCM leo, katika jimbo la Monduli mkoani Arusha. Mgombea Mwenza wa Ur… Read more »walumitz.blogspot.com
maneno makongoro nyerere akiuzungumzia ugonjwa wa lowasa
Kwa masikitiko Makubwa sana, nimemsikia mtoto wa rais wa Kwanza wa Tanzania, hayati baba wa taifa, Makongoro Nyerere siku ya leo pale Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni za urais za CCM akitoa kauli za kejeli, majigambo na vijembe kuhusu Afya y… Read more »walumitz.blogspot.com
PICHA ZA MKUTANO WA CCM WAKIZINDUA KAMPEN ZAO VINJWA VYA JANGWANI DSM
MKUTANO WA CCM JANGWANI JANAWANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA FIESTA JANA KWENYE VIWANJA VYA JANGWANIMZEE YUSUPH NAYE KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI JANADIAMOND KATIKA UBORA WAKE WA KUWAGAWA MASHABIKI WA MZIKI WAKE TANZANIAWarioba katika ubora wakeRais wa a… Read more »walumitz.blogspot.com