0
Msanii wa Pop Ariana Grande ambaye ni ex wa rapa Big Sean ameweka wazi kuwa mpenzi wake mpya ni rapa Mac Miller.
ariana-grande-ellen
Ariana Grande alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha “The Ellen DeGeneres Show” kwa kusema hajawahi kuwa huru kuongelea mahusiano yake kwenye TV ila ni kweli yupo na Mac Miller.
Tetesi za Ariana Grande na Mac kuwa wapenzi zilianza kuongelewa mwezi August na pia waliwahi kufanya kazi pamoja kwenye wimbo “Into You” na “The Way.”
maxresdefault
Ariana Grande akiwa na Mac Miller
Big Sean alikuwa na uhusiano na Ariana Grande toka mwaka 2015, lakini baada ya kuachana Ariana amekuwa akihusishwa kutoka na mastaa kama Justin Bieber na Josh Hutcherson.

Post a Comment Blogger

 
Top