Jose Mourinho akiongea na waandishi wa habari amesema haya kuhusu Wayne Rooney
“Amecheza kila mechi tangu kuanza kwa msimu huu na amecheza dakika 90 katika timu ya Taifa ya England. Ninataka awe vizuri kwa ajili ya mechi zijazo . Anacheza katika eneo la ushambuliaji ambapo nina machaguo mengi.”
Wachezaji 20 ambao wameenda Uholanzi ni De Gea,Romero, Johnstone, Darmian,Bailly,Blind,Mensah,Rojo,Smalling,Carrick,Fellain,Herrera,Mata,Memphis,Pogba,Schneiderlin,Young,Ibra
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.