0
Ni ukweli usiopingika kwa sasa muziki wa Bongo unazidi kutoboa kwenye nchi nyingi barani Afrika.
simanya-2
Wimbo wa Perfect Combo wa Joh Makini aliomshirikisha Chidinma umezidi kufanya vizuri kwenye redio na runinga za nchini Nigeria, na sasa umefanikiwa kushika namba tano kwenye Top 10 ya Naija FM na The Beat FM.
naija-fm
the-beat-fm
Joh Makini ni mmoja kati ya wasanii kutoka Tanzania wanaofanya vizuri kwenye redio na TV za nje huku akiwa na rekodi ya wimbo wake wa ‘Nusu Nusu’ kuwahi kushika namba moja mwezi Julai mwaka jana kwenye chati za runinga ya MTV Base.

Post a Comment Blogger

 
Top