 New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu  ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli  ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna  Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja  jina...Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha  wakidendeka bila chenga....
New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu  ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli  ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna  Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja  jina...Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha  wakidendeka bila chenga....:
Soma Baadhi ya Comment za Mashabiki

 
Post a Comment Blogger Facebook