Derry City leo watakuwa ugenini Ferrycarrig kujihakikishia nafasi ya tatu kwaka msimamo wa ligi ya ireland kwa ushindi dhidi ya wexford youth ambao wanasua sua .. na wanapamba wasishuke daraja.. huku wexford youth wakiwa wamepoteza michezo kumi kati ya 12 iliyopita
na wakiwa wametoka kufungwa kwenye lig cup juma lililo isha na derry city 3-1
leo derry city wakimfunga tena wexford youth itakuwa ni ushindi wa nne mfululizo katika msimu huu...
mzigo wangu na uweka kwa
Derry City odds 1.72
RESULT?
2.Achilles '29 vs Telstar
![]() |
achilles |
mechi hii naamini itakuwa na zaidi ya magoli matatu na pia watafungana...
mzigo wangu ni kwa
Telstar DNB odds 1.78
GG&3+ odds 3.55
Telstar -0.5 AH odds 2.60
RESULT?
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.