Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda  Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa  kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.
Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe  na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine  watarudiana
 
Post a Comment Blogger Facebook