Kichuya alisaidia mechi zilizo pita Simba kupata ushindi na kufunga magoli na kusaidia magoli mengine kufungwa alifunga mabao matatu katika mechi mbili kati ya nne ambazo alicheza.
Makamu wa Rais wa Simba Kaburu akimkabidhi tuzo ya mchezaji bora wa mwezi
Simba SC iliibuka na ushindi wa 3-0 Toto Africans hivyo kufikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 11 na sasa wanawazidi mabingwa watetezi, Yanga walioa nafasi ya pili kwa pointi nane.
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.