Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika mahusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya awali wakati mnaanza mapenzi yenu. Wanawake wengi wanalalamika kuwa hawaoni upendo ule waliouzoea zamani wakati mapenzi yanaanza. Hata wanaume wengine wana… Read more »walumitz.blogspot.com
Ugomvi katika mahusiano ni afya
Ukimuuliza binti yeyote akutajie mambo 10 asiyopenda kusikia au kuyaona katika ndoa yake, mojawapo litakuwa ni ugomvi. Ugomvi unaumiza, kiakili na kimwili. Ugomvi si ustaarabu, zaidi sana ugomvi si haki !! Kuna ugomvi wa hoja, kuna ugomvi wa ngumi mb… Read more »walumitz.blogspot.com
Hatua tano za kufikia mafanikio makubwa bila kujali wapi umeanzia
Katika maisha kuna watu ambao wamefanikiwa sana na kuna ambao wanasukuma tu maisha siku ziende. Na ukiangalia hawa ambao wamefanikiwa sana kuna ambao walianzia chini kabisa, hawakuwa na elimu kubwa, hawakurithi mali na pia hawakupata watu wa kuwapa m… Read more »walumitz.blogspot.com
21 Things You Need to Stop Doing By the Time You Turn 30
As I approach 30, I have a pretty solid idea of who I want to be when I get there. And even if the Big Three-O is an arbitrary demarcation between youth and true adulthood, it's important to set goals for yourself. The particulars of those goals … Read more »walumitz.blogspot.com
Mambo 10 usiyoyafahamu kuhusu watu wanaotumia mkono wa kushoto
Kila tarehe 13 mwezi Agosti ya kila mwaka ni siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto. Watu wanaoandika na kufanya vitu vingine kwa kutumia mkono wa kushoto si wengi sana dunia. Hivi hapa ni baadhi ya vitu ambavyo huenda huvifahamu kuhusu watu wanaot… Read more »walumitz.blogspot.com
Sababu 10 zinazoweza kupelekea mapenzi kupungua / kuisha
Mapenzi ni kitu Fulani tofauti sana kwenye hii dunia na hata nje ya hii sayari. Mapenzi kwa kiasi kikubwa sana yanasababisha hata mambo mengine kwenye hii dunia yaende sawa au yaende tofauti hata kama hayahusiani na mahusiano ya mapenzi. Vifo vingi h… Read more »walumitz.blogspot.com
Siri 7 za mafanikio ya mtu binafsi soma hapa upate mafanikio
Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika analohitaji mafanikio hayo yatokee katika maisha pia kulingana na ndoto yake aliyonayo. Nikiwa na … Read more »walumitz.blogspot.com