0
Wapenzi hawa wawili walianza kurushiana vijembe na kuanika ugomvi wao mitandaoni
Awali Nuh mziwanda alipost hiki hapa

Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu" aliyasema hayo
Kwenye Account yake ya Instagram

Jioni hii 'Shishi baby' Shilole naye akaamua kumjibu Nuh kupitia Account yake ya Instagram
Alisema "Kidume unataka raha tu 'pesa hauna 'na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga 'mjini hapa 'halafu sina habari 'wacha niwe busy na kazi zangu tu'mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare"

Post a Comment Blogger

 
Top