Amepokosa nafasi ya kufanikiwa kuchaguliwa kupata nafasi ya ubunge viti maalum leo.
Kulikuwa na upinzani mkali kutoka kwa wenzake wa singida pia walio kuwa wakiihitaji nafasi hiyo iliyo pelekea kuwa na kupigiwa kura na wanachama za mchujo
Na matokeo ni kama haya
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3.Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Matokeo ya viti maalum singida
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.