0
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato.Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya mkutano kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Musukuma na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo.Shilole akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM ChatoChege na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chato CCMMr.Blue akiwapagaisha wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni.Original Komedi wakitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCMJoti akipeana mkono na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza kutumbuiza.Yamoto Band wakitumbuiza kwenye uwanja wa michezo Chato kabla ya kuanza mkutano wa kapeni za CCM.Khadija Kopa akitumbuiza wakazi wa Chato
 Fid Q akishusha mistari kwenye jukwaa la kampeni za CCM ChatoBushoke akitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli

Post a Comment Blogger

 
Top