BAADHI ya wakazi wa mji wa Dodoma wameeleza masikitiko yao juu ya matusi na kashifa zinazotolewa na viongozi wa CCM dhidi ya wahasimu wao Chadema.Hali hiyo ilijitokeza juzi ambapo Makongoro Nyerere aliweka sera za CCM pembeni na kuanza kutoa kashf… Read more »walumitz.blogspot.com
Magufuli Awataja LIVE WanaCCM Wanaomsaliti Huku Wakimsanifu Kuwa Wanamuunga Mkono
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana aligeuka mbogo baada ya kuamua kuwataja hadharani watu wanaohujumu kampeni zake kwa kujifanya mchana wako pamoja na usiku wakigeukia upande wa upinzani.Akiwahutubia wananchi … Read more »walumitz.blogspot.com
ACT Yalia na Ukata wa Fedha za Kampeni
Wakati zikiwa zimebaki siku 29 kuelekea uchaguzi mkuu, kampeni za mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira zinakabiliwa na uhaba wa fedha ambazo sasa zimebaki Sh. milioni mbili tu.Tangu mgombea huyo alipozindua kampeni zake Agosti 3… Read more »walumitz.blogspot.com
Kauli ya UKAWA Kususia Uchaguzi Yaishtua NEC.
ume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeshtushwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kwamba watasusia uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Hata hivyo, Nec imetetea kauli iliyotolewa na Mjumbe wa K… Read more »walumitz.blogspot.com
Utafiti Mpya Wampa Ushindi Wa Asilimia 76 LOWASSA Dhidi ya Magufuli
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimetoa matokeo ya utafiti uliofanywa sehemu tatu tofauti unaoonyesha mgombea wao wa urais, Edward Lowassa, atapata ushindi wa asilimia 76.Matokeo ya utafiti huo yalitolewa Dar es Salaam jana… Read more »walumitz.blogspot.com
Rais Kikwete Azungumzia Kauli za Magufuli Kuikosoa Serikali Yake.....Asema ni Haki Yake Kwa Kuwa Nchi Inahitaji Mawazo Mapya
RAIS Jakaya Kikwete, amesema hamshangai mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli kwa kukosoa utendaji kazi wa Serikali yake katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea.Rais Kikwete, alitoa kauli hiyo juzi, wakati akizungumza … Read more »walumitz.blogspot.com
Jamaa Aliyefanya Zoezi la Kura za Maoni Kwenye Box Kariakoo na Lowassa Kushinda Akamatwa na Polisi
Mtu mmoja huko Kariakoo jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi … Read more »walumitz.blogspot.com
Sentesi 11 Ngumu MBOWE alizozitoa mbele ya Waislam Jana Siku ya Idd
Viongozi wakuu wa umoja wa katiba ya wananachi UKAWA wakiongozwa na mwenyekiti wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA Mh FREMAN MBOWE pamoja na makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa SAFARI na kaimu mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF ambaye … Read more »walumitz.blogspot.com
Masanja: Uchungaji Si Mzaha, Afunguka Haya
MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na si… Read more »walumitz.blogspot.com
LOWASSA Aeleza Kama Atakubali au Atakataa Matokeo Akitangazwa AMESHINDWA
ZIKIWA zimebakia siku 30 kabla watanzania hawajapiga kura ya kumchagua Rais,mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa ambaye amekuwa akieleza imani yake kuwa atashinda kwa kishindo, ameeleza msimamo wake endapo… Read more »walumitz.blogspot.com
Makanisa Matatu yachomwa Moto Bukoba Leo Septemba 22,2015
Makanisa yaliyochomwa moto ni Pentecostal Assembilie of God (PAG) kata bakoba eneo la buyekera,Living Water International na Evangelical Assemblies of God (EAGT) kata ya Kibeta yote ya mjini Bukoba .Chanzo chake hakijafahamika ambapo wachungaji na… Read more »walumitz.blogspot.com
Jack Wolper Awatupia Dongo Kina Wema Sepetu na Wenzake wa Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao
ack Wolper Awatupia Dongo Kina Wema Sepetu na Wenzake wa Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao...Soma Hapa Chini Dongo Lenyewe..… Read more »walumitz.blogspot.com
Baada ya TWAWEZA kusema CCM inakubalika 66 %, haya ni maneno 15 ya Lowassa na 26 ya Zitto Kabwe
Kuelekea uchaguzi mkuu October 25 2015 matokeo ya utafiti wa taasisi ya TWAWEZA yametolewa September 22 2015 Tanzania na kuonyesha Watanzania mbalimbali wanamkubali nani zaidi ambapo CCM imepata 66%, CHADEMA ikipata 22%, C.U.F 1%,ACT 0%, NCCR 0%, … Read more »walumitz.blogspot.com
takwimu; CCM ndicho chama kinachopendwa zaidi na wananchi jionee
Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea w… Read more »walumitz.blogspot.com
MAGUFULI AWAKUNA WANANCHI WA KARAGWE, APIGA PUSH UP JUKWAANI, WANANCHI WASHANGILIA
Kuonyesha kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe Magufuli aliwashangaza wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya tano jukwaani,mbele ya wakazi wa mji huo ambao wal… Read more »walumitz.blogspot.com
Bukoba Nimewakubali..Mgombea wa CCM Magufuli Afunika Mbaya...Angalia Picha Hapa ilivyokuwa
Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kum… Read more »walumitz.blogspot.com
Sumaye: CCM Kama Kuna Hirizi Zenu Ikulu, Mzitoe Mapema
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye, ametupa ‘Dongo’ kwa mahasimu wao kisiasa CCM, waanze kufungasha ‘virago’ mapema kwa kuwa mwaka huu ni wa UKAWA.Akizungumza jana na mamia ya wananchi Dar es salaam, … Read more »walumitz.blogspot.com
Wafanyakazi waliofichua ukweli kuhusu kikao cha Dr. Slaa Serena Hotel wafukuzwa kazi
Kama mnavyokumbuka mwezi huu tarehe 1 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa aliitisha kikao cha waandishi wa habari pale Serena Hotel, ambapo mkutano huo ulirushwa LIVE na vituo vya televisheni vipatavyo vitano na radio kadhaa nazo zikarusha mk… Read more »walumitz.blogspot.com
Magufuli Afunika Chato........Maelfu ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wake LEO
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato.Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya mkutano kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Ur… Read more »walumitz.blogspot.com