0
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Tiba asili cha Fore Plan, Tabibu Juma Mwaka, amesema huduma za kituo hicho zinaendelea kama kawaida na kwamba serikali haijazifunga kama baadhi ya watu wanavyodhani
 Tabibu Mwaka amesema vipindi vya kuelimisha umma ndio vimesimamishwa na serikali lakini matangazo ambayo yaliidhinishwa na baraza la Tiba asili bado yanayendelea kwenye baadhi ya vyombo vya habari.

Post a Comment Blogger

 
Top