0
Ryan Giggs jana hakuwepo kushuhudia mchezo ambao timu yake ilipata ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Stoke City katika uwanja wa Manchester United, Old Trafford kutokana na matatizo ya kifamilia, ililipotiwa na gazeti la Daily Mail kutoka England.

Kocha Louis Van Gaal alionekana kutumia muda mwingi wa mechi hiyo kushauriana na makocha wengine wa mazoezi huku kiti cha msaidizi wake Ryan Giggs kikibakia wazi.

Post a Comment Blogger

 
Top