Menu
  • About
  • Contact
  • More
    • Menu 1
    • Menu 2
    • Menu 3
    • Menu 4
  • Menu
  • twitter
  • facebook
  • google
  • rss
  • linkedin
  • dribbble
  • pinterest

WALUMI

Breaking News

Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • News
  • GOSSIPs
  • HEALTH
  • LOVE
  • TECHNOLOGY
  • STORY
  • SPORTS
Home KITAIFA

Gari la CRDB laopolewa, mfanyakazi hajapatikana

0 KITAIFA 3:55:00 PM
A+ A-
Print Email

 Gari hilo liliopolewa jana saa nane mchana baada ya kulitafuta kwa siku tano tangu lilipozama Mto Kilombero Januari 27 likiwa katika kivuko cha MV Kilombero II.
Kilombero. Gari la Benki ya CRDB limeopolewa katika Mto Kilombero likiwa na Sh3.5 milioni, huku mfanyakazi wake akiwa hajapatikana.

Gari hilo liliopolewa jana saa nane mchana baada ya kulitafuta kwa siku tano tangu lilipozama Mto Kilombero Januari 27 likiwa katika kivuko cha MV Kilombero II.

Mfanyakazi wa CRDB tawi la Ifakara, Dustan Rwegasira (31) ni miongoni mwa abiria waliokuwamo ndani ya kivuko hicho.

Hata hivyo, jitihada mbalimbali za kukiibua kivuko hicho bado zinaendelea baada ya juzi kutumia mbinu ya kutumbukiza mapipa yaliyojazwa maji kisha kuzamishwa chini ili kukitoa kukwama.

Kazi hiyo inafanywa na timu ya wazamiaji wa Kampuni za M.Divers Limited na May-Marine Go Limited.

Mkuu wa Kikosi cha Uzamiaji na Uokoaji wa Kampuni ya M. Divers Limited, Hafidh Seif alisema: “Hesabu zetu zinakwenda vizuri, yale matangi unayoyaona yanazamishwa baada ya kujazwa maji halafu, yakiwa chini yatageuka maboya kisha yatapanda juu na kivuko hicho na kuvutwa na wenye magari,” alisema Seif.

Seif alisema wanakabiliana na changamoto ya kasi ya maji, lakini wanamshukuru Mungu kazi ya kuondoa maji ndani ya vyumba vya maboya ya kivuko imemalizika salama. 


Share to:
Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment Blogger Facebook

aprieztmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)
  • Populars
  • Comments
  • Archive

FACEBOOK

walumitz.com

twitter

Tweets by walumitz

Popular Posts

  • Chombezo; Dudu washa sehemu ya 4
    Kutokana kauli aliyoitoa OSWADI kiukweli Palanjo alijishtukia na kufunga zipu yake,kiutu uzima wapo waliohisi kitu Fulani cha kweli alichoki...
  • Chombezo; Dudu washa sehemu ya pili
    ,,,ngo ngo ngo!,,, ,,,nani Sefu?,,, ,,,ndiyo fungua mlango,,, ,,,navaa bwana,subiri kidogo,kwani unataka nini?,,, ,,,kuna kitabu cha Civics ...
  • JIMAMA MTAA WA PILI (sehemu ya 07)
    ILIPOISHIA..……. Nilichokikuta mara baada ya kuchomeka vidole hivyo ndio kilinishangaza zaidi. Nilikuta kitumbua tayari kimekwisha lainika , ...
  • Lowassa: Mapato ya gesi yatasomesha wanafunzi bure
    Kwa ufupiMgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa akihutubia wananchi katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika katika Vi...
  • NEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MOJA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhan (kushoto), akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benedict Wakulyamb...
  • Wafuasi 10 wa CHADEMA na CCM Wakatana Mapanga Kisa ......
    WATU zaidi ya 10 wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejeruhiwa katik...
  • JIMAMA MTAA WA PILI (sehemu ya 12)
    ILIPOISHIA..……. Nilitembea huku nikiwa na hamu kubwa ya kumkamata motto Aisha ile kiuakika, tayari nilikwisha uonja utamu wa mauono yake pa...
  • FID Q ft TAZ - WALK IT OFF (OFFICIAL VIDEO)
    kichupa kipya cha fid Q 2016
  • Maamuzi ya Juan Mata baada ya kuhisi maisha Old Trafford yatakuwa magumu kwake
    Kitendo cha kocha mpya wa Man United Jose Mourinho kumuingiza Juan Mata dakika ya 63 na kumtoa katika dakika za nyongeza katika mchezo wa n...
  • Sumaye: Kuwa mpinzani yataka moyo
    WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amekiri kuwapo na ugumu wa kufanya siasa nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wanachama wa Cha...

MAPENZI NA SIMULIZI

 

About us

WALUMI © 2013. All Rights Reserved.
Powered by Blogger
Top