Akiongea na Bongo5 wiki hii, Mkubwa Fela amesema nguo za brand ya Yamoto Band tayari zimeingia sokoni za zinapatikana katika maduka mbalimbali.
“Kuna mambo mengi yanakuja, tuombe uzima lakini kwa sasa tunazungumzia mzigo mpya ambao umeingia sokoni, nguo ni nzuri tunahitaji support za mashabiki wetu katika kutuungisha,” alisema Fela. Kwa sasa mzigo upo umeingia sokoni na unapatikana katika maduka mbalimbali,”
Pia Fela amesema tayari ameshasajili logo ya brand ya Yamoto Band ili kukabilina na watu ambao watajaribu kutengeneza bidhaa feki.
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.