0
baada ya jana kuanza vizuri.. leo tunaendelea....

1. Konyaspor v Shakhtar Donetsk
baada ya kutolewa kwenye champions league qualifiers Shaktar wamegeuzia nguvu zao kwenye Europa league kikosi kipo sawa na wameanza ligi vizur bila shaka ushindi leo ni wa muhimu maana ugenini ni kama nyumbani.... kwa sababu hata za nyumbani wanachezea kiwanja tofauti na cha kwao... konyaspor hawana nguvu ya kumzuia shaktar kutopata matokeo
  mzigo wangu ni ushindi kwa
Shaktar Donetsk odds 1.78
Konyaspor 0-1Shakhtar Donetsk WON

2. Feyenoord vs Man Utd

fayenoord leo wanakibarua kigumu katika europa league dhidi ya Man utd chini ya Jose Mourinho japokuwa wameanza ligi vizuri na ushindi mara tano mfulilizo
man Utd watakuwepo bila ya Rooney na luke shay pamoja na phil jones pia tutategemea Rashford kuanza mechi ya leo nategemea Man Utd kuchukulia hii game seriously kwa hiyo ushind utakuwa ni lazima kutokana na kufungwa na Man Cty jumamosi watahitaji.. kubounce back kama walivyo fanya Leicester City na Barcelona na Dortmund
Mzigo wangu na uweka kwa
Manchester United odds 1.85
Manchester United AH -0.5 odds 2.05
RESULT
Fayenoord 1- 0 Manchester United LOSE

3.Southampton vs Sparta Prague
southampton pamoja na kuanza vibaya msimu haimanishi wao ni wabovu...sana  kama wakicheza sawa sawa na walivyo cheza mechi yao ya jumamosi dhidi Ya arsenal wana uhakika wa kushinda Mechi ya leo.... na ikichangiwa hawana majeruhi wapya nategemea  Thomas Rosicky na timu yake watakuwa na kibarua cha kuzuia na kutafuta angalau point moja....
mimi mzigo wangu nauweka kwa 
Southampton odds 1.65
wale wa Asian Handcap Southampton -0.5 AH  odds 1.92
RESULT
Southampton 3-0 Sparta praha WON

Post a Comment Blogger

 
Top