Mwanzilishi mwenza wa label ya Roc-A-Fella Records, Kareem ‘Biggs’ Burke amezungumzia dongo la Kanye West kwa swahiba wake, Jay Z. “Nilishtuka kusikia kile Kanye alikisema jukwaani,” alisema Burke wakati wa kuadhimisha miaka 20 ya album ya Jay Z, R… Read more »walumitz.blogspot.com
Ciara na Russell Wilson wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza
Ciara na mumewe Russell Wilson wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza – kwa mujibu wa mtandao wa E! News. Mmoja wa watu wa karibu wa familia hiyo ameuambia mtandao huo kuwa Ciara ni mjamzito na anatarajia kuitwa mama tena hivi karibuni. “Ciara is p… Read more »walumitz.blogspot.com
Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa nukuu hizi
Leo watanzania wanaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amefariki dunia. Alifariki tarehe 14 Oktoba, 1999 huko Uingereza alipokuwa kwenye matibabu. Kitaifa maadhimisho haya yanaenda sambamba na uzimwaji wa Mweng… Read more »walumitz.blogspot.com
Picha: Tunda Man afanya ‘Send-off’ na mrembo huyu
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Tunda Man pamoja na mpenzi wake wa muda mrefu wamefanya ‘send-off’ wakijiandaa kuingia katika maisha ya ndoa. Alhamisi hii usiku zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha Tunda Man pamoja… Read more »walumitz.blogspot.com
Picha: Barakah The Prince aonyesha mjengo wake wa kisasa
Msanii wa muziki, Barakah The Prince ameonyesha mafanikio aliyopata kwenye muziki kwa kujenga nyumba kubwa yenye vyumba 5 huku nje akiwa ameweka sehemu ya kuogelea (Swimming Pool). Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Nisamehe’ akiwa ame… Read more »walumitz.blogspot.com
Diamond Afunguka Asema Zari Ndiye Model Aliyewahi Kumlipa Hela Nyingi
Mkali wa wimbo ‘Salome’ na Mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema katika ma Model ambao amewahi kuwalipa hela nyingi ni Zari ambaye ni mpenzi wake na Mama watoto wake pia.Diamond Platnumz akiongea katika kipindi cha The play list cha Radio Ti… Read more »walumitz.blogspot.com