0
Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku siasa katika nyumba za ibada
Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku siasa katika nyumba za ibada

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku wanasiasa kutumia nyumba za ibaada kufanya kwa shughuli za kisiasa. Tamko hilo limetolewa na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa rais wa Zanzibar, Mh. Mohammed Aboud alisema kuwa viongozi wa d… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
24Oct2016

0
Miaka 17 Bila Nyerere: Mwinyi Asema Taifa Limepoteza Mwelekeo, Asikitishwa na Uwepo wa Panya Road
Miaka 17 Bila Nyerere: Mwinyi Asema Taifa Limepoteza Mwelekeo, Asikitishwa na Uwepo wa Panya Road

Wakati  Tanzania leo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 17 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema Taifa limepoteza mwelekeo  kwani halina tena uadilifu aliotujengea Mwalim… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Rais Magufuli afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa China kuhusu ujenzi wa reli ya kati
Rais Magufuli afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa China kuhusu ujenzi wa reli ya kati

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Qian Keming ambapo viongozi hao wamekubaliana kuharakisha mir… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
TCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa Nchini
TCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa Nchini

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri. TCRA pia imewataka wananchi ambao tayari wanatumia simu hizo kuzizima na kuziru… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
 Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa nukuu hizi
Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa nukuu hizi

Leo watanzania wanaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amefariki dunia. Alifariki tarehe 14 Oktoba, 1999 huko Uingereza alipokuwa kwenye matibabu. Kitaifa maadhimisho haya yanaenda sambamba na uzimwaji wa Mweng… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Wanaotumia kope bandia hatarini kupata upofu wa macho
Wanaotumia kope bandia hatarini kupata upofu wa macho

Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa kuwa na athari kwenye macho yao. Tahadhari hiyo imetolewa na mratibu wa huduma ya mac… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Makontena 100 yayeyuka bandarini Dar
Makontena 100 yayeyuka bandarini Dar

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena 100 bandarini bila kukaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakatoe taarifa katika shirika. Mwijage alitoa kauli hiyo jijin… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Fury asitishwa kibali cha kupigana na bodi ya ndondi Uingereza
Fury asitishwa kibali cha kupigana na bodi ya ndondi Uingereza

Wakuu wa ndondi wamesitisha kibali cha bondia Tyson Fury kupigana ikiwa ni siku moja baada ya bondia huyo kusalimisha mataji yake ya ubingwa wa ndondi uzani mzito duniani ili kuweza kukabiliana na matatizo ya afya ya akili. Fury, ambaye ana umri w… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
14Oct2016

0
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbali mbali kwa awamu ya pili
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbali mbali kwa awamu ya pili

 Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbali mbali kwa awamu ya pili==>Chuo Kikuu Eckern Ford  (2nd Round)  >==>Chuo Kikuu Ruaha-iringa 2nd Round)  >==>Chuo Kikuu Mwl. nyerere Dar (2nd Round) >==>Chuo Kikuu Tumaini-dar  (2nd Round)  >=… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
09Oct2016

0
Aliyetaka Mwamunyage apindue nchi ashinda kesi
Aliyetaka Mwamunyage apindue nchi ashinda kesi

Mwanafunzi  wa mwaka wa tatu wa  Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) cha mkoani Arusha, Allan Mbando, ameibwaga Serikali katika kesi ya kudaiwa kusambaza ujumbe kupitia Mtandao wa Facebook akimtaka Mwamunyange apindue nchi.Katika mtandao huo wa ki… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
09Oct2016

0
Taarifa ya kanusho kuhusu ajira serikalini
Taarifa ya kanusho kuhusu ajira serikalini

Kuna tangazo ambalo linasambazwa kupitia baadhi ya mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari ‘’Sekretarieti ya Ajira yatangaza zaidi ya nafasi za kazi 1,000’’. Likionyesha kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
30Sep2016

0
Chadema waahirisha tena maandamano ya oparesheni ukuta
Chadema waahirisha tena maandamano ya oparesheni ukuta

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe ametangaza kuwa Operesheni UKUTA iliyokuwa ifanyike Oktoba Mosi haitofanyika tena.Mbowe amesema hayo leo baada ya kimya cha muda mrefu tangu kuahirishwa kwa maandamano Sep… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
30Sep2016

0
Taarifa kuhusu kesi ya viongozi waliofungua akaunti fake ya maafa kagera
Taarifa kuhusu kesi ya viongozi waliofungua akaunti fake ya maafa kagera

Watumishi  watatu wa Serikali akiwamo Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bukoba, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba wakituhumiwa kutaka kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.Watumishi hao wanadaiwa kutaka kujipatia fedha hi… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
30Sep2016

0
Waziri mkuu apokea zaidi misaada ya waathirika wa tetemeko mkoani kagera
Waziri mkuu apokea zaidi misaada ya waathirika wa tetemeko mkoani kagera

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea zaidi ya sh. milioni 760 zikiwa ni misaada kwa wananchi walioathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera Septemba 10, mwaka huu.Amepokea misaada hiyo kutoka kwa taasisi na wadau mbalimbali likiwemo kun… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
30Sep2016

0
Tibaijuka ahofia ESCROW akataa zawadi ya millioni 200
Tibaijuka ahofia ESCROW akataa zawadi ya millioni 200

MBUNGE wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka (CCM), amepata tuzo ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa ni mchango wa kuthamini kazi aliyoifanya, huku akikataa kupokea zawadi ya Dola 100, 000 za Marekani, ambazo ni zaidi ya Sh milioni 200.Profesa Tibaijuk… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
30Sep2016

0
Maalim Seif kumshtaki Lipumba kwa mkuu wa polisi nchini (IGP)
Maalim Seif kumshtaki Lipumba kwa mkuu wa polisi nchini (IGP)

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, atatua ofisini kwa kiongozi mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ili kumueleza mkakati wake wa kutua ofisini kwake, Buguruni jijini Dar es SalaamMaalim anakwenda kwa IG… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
29Sep2016

0
Pato la taifa lakua kwa asilimia 7.9
Pato la taifa lakua kwa asilimia 7.9

Na Veronica KazimotoPato la Taifa limekua kwa jumla ya thamani ya Shilingi trilioni 11.7 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2016 ikilinganishwa na Shilingi trilioni 10.9 katika kipindi kama hicho cha mwaka 2015.Akizungumza na waandishi wa habar… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
29Sep2016
 
 
Top