Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limemwomba Rais John Magufuli kumshughulikia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba kwa maelezo kuwa ni ‘jipu’ ambalo limevuruga mjadala wa Muswada wa Huduma za Habari. Hayo y… Read more »walumitz.blogspot.com
Serikali yahakiki vyeti vya ndoa, walimu wajiandaa kugoma
Gazeti la Tanzania Daima limeripoti kuwa Serikali imeanza uhakiki wa vyeti vya ndoa kwa watumishi wa umma. Hatua hiyo ambayo imewashtua watumishi wengi wa umma, imeelezwa kuwa ni mwendelezo wa harakati za Serikali ya Rais John Magufuli kuhakiki watu… Read more »walumitz.blogspot.com
Lowassa, Sumaye Waibukia Bungeni Dodoma
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma. Mawaziri hao wastaafu walio… Read more »walumitz.blogspot.com
Makamu wa Rais apiga marufuku uharibifu wa mazingira nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini ambao unaweza kusababisha nchi kugeuka jangwa. Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo wakati a… Read more »walumitz.blogspot.com
Polisi Kutoa Taarifa Ya Kifo Cha Mwanamasumbwi Thomas Mashali Siku Ya Jumatano
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa wanaendelea na upelelezi kufuatia kuuawa kwa mwanamasumbwi Thomas Mashali na watatoa taarifa ya kifo hicho siku ya Jumatano. Akizungumza na waandshi wa habari jijini Dar es Salaam jana, … Read more »walumitz.blogspot.com
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga
Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake jana kukanusha kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana na Mdachi Hans van der Pluijm, mzungu huyo ameta… Read more »walumitz.blogspot.com
Baba aua mwanawe kisa kufungua redio kwa Sauti Kubwa
BABA mmoja mkazi wa Kijiji cha Maji ya Moto, Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, Wilfred Kivuyo amemuua mtoto wake baada ya kumchoma kisu tumboni, kwa kosa la kufungulia redio kwa sauti ya juu. Kabla ya tukio hilo inadaiwa yalitokea mabishano ya kugombea… Read more »walumitz.blogspot.com
Waraka wa Lowassa: Uchambuzi wa Serikali ya Magufuli mwaka mmoja baada ya Uchaguzi
Tarehe Kama ya leo mwaka Jana, ilikuwa siku muhimu sana kwa watanzania na Mimi binafsi.Niliwaongoza watanzania kupiga kura nikiwa mgombea wa upinzani. Naamini nilileta sura na msisimko mpya katika siasa za Tanzania.Nilishirikiana na wenzangu kuiones… Read more »walumitz.blogspot.com
Wazanzibari 40,000 Wafungua kesi Mahakamani Kuupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeingia kwenye jaribio jingine, baada ya Wazanzibari 40,000 kufungua kesi mahakamani kupinga uhalali wake. Kesi hiyo ilifunguliwa jana katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) na Rashid Salum Adiy kwa n… Read more »walumitz.blogspot.com
Asilimia 90 ya Wanafunzi kupata Fedha zao za Mikopo Kesho
Wakati baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wakiendelea kusubiri kupata mikopo yao, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia kesho, asilimia 90 ya wanufaika watakuwa wameshapata fedha zao. Majaliwa alisema hayo jana wakati wa kilele cha maadh… Read more »walumitz.blogspot.com
Umeya Kinondoni: CHADEMA Wafungua Kesi Mahakamani, Wadai Uchaguzi Haukuwa Halali
Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamekimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa umeya na naibu meya wa Manispaa ya Kinondoni katika Jiji la Dar es Salaam uliompa ushindi Diwani wa Msasani, Benjamin Sitta wa CCM kuwa Meya. Uka… Read more »walumitz.blogspot.com
Rais Magufuli Ateuliwa kuwania tuzo ya Forbes kwa watu maarufu barani Afrika
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameingia katika listi ya watu ambao wametajwa kuwania tuzo ya Person Of The Year 2016 ambayo hutolewa na Jarida la Forbes Africa. Rais Magufuli ameingia katika kinyang’anyio hicho, akiwania tuzo hiyo pamoja… Read more »walumitz.blogspot.com
Tanzania Yapata Mkopo Wenye Masharti Nafuu Wa Zaidi Ya Shilingi Bilioni 300 Kutoka Benki Ya Maendeleo Ya Afrika (Afdb) Na Serikali Ya Korea
Benny Mwaipaja, WFM, Seoul, Korea TANZANIA, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Korea ya Kusini zimetiliana saini makubaliano ya pamoja kutekeleza mradi wa ujenzi wa njia ya umeme gridi ya Kaskazini Magharibi inayoanzia mkoani Mbeya, Nyakanazi ha… Read more »walumitz.blogspot.com
Thomas Ulimwengu Aondoka TP Mazembe, Afuata Ndoto zake Kucheza Ulaya
Baada ya kucheza misimu mitano kwenye klabu ya TP Mazembe, mchezaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu ameondoka kufuata ndoto zake kucheza Ulaya.Mchezaji huyo aliyekuwa akivaa jezi namba 28 na aliyepewa jina la utani ‘Rambo’ alichukuliwa na klabu hiy… Read more »walumitz.blogspot.com