Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki akiwahutubia wananchi wa Bukoba na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni wa Urais,ambapo Dkt John Pombe Magufuli aliwahutubia jioni ya leo mkoani Kagera.Wakazi wa Runazi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM alipokuwa akiwahutubia wananchi wilayani Muleba mkoani Kagera jioni ya leo.Wakazi wa Muleba Mjini wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimsilikiza mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kufunga barabara wakitaka kusikilizwa shida zao, alipokuwa akiwasili eneo hilo na kuwasalimia Magufuli alipokuwa Mgombea Urais wa CCM akijinadi mbele ya wakazi wa Kamachumu,wilayani Muleba kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika jioni ya leo mkoani Kagera.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda jana alitinga mahakamani na kumkataa hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi iliyofunguliwa dhidi yake na makada w...Read more »
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa(Pichani) amesema watumishi wa umma wako huru kuhamia kokote wapendako lakini wahakikishe wanaenda huko wakiwa safi na kamw...Read more »
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Profesa Jumanne Maghembe amewasimamisha kazi watumishi watano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kuwahamish...Read more »
Septemba Mosi, 2015 Tanzania ilianza kutumia sheria ya Makosa ya Mtandao licha ya kuwepo kwa mvutano na malalamiko kutoka kwa wananchi wanaotumia mita...Read more »
Mtangaza nia ya kugombea Urais nchini Marekani, Donald Trump amesema Afrika inatakiwa kutawaliwa tena na wazungu, sababu imeshindwa kujitawala&n...Read more »
mjomba Amefunguka yaho kupitia ukurasa wake wa instagram@diamondplatnumz post yako ya leo imenifanya nisile Siku nzima Nikiitafakari, na sasa nimeamua...Read more »
BAADHI ya wakazi wa mji wa Dodoma wameeleza masikitiko yao juu ya matusi na kashifa zinazotolewa na viongozi wa CCM dhidi ya wahasimu wao Chadema.Ha...Read more »
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana aligeuka mbogo baada ya kuamua kuwataja hadharani watu wanaohujumu kampeni ...Read more »
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.