
Akizungumza jana na mamia ya wananchi Dar es salaam, Sumaye amedai kwa miaka mingi CCM imekuwa ikiahidi ahadi bila utekelezaji, hivyo amewataka wananchi kumpigia kura nyingi mgombea wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa.
“Niwaambie kabisa waanze kuondoka kuiachia Ikulu mapema, kama kuna hirizi zao waziondoe mapema waiache Ikulu ikiwa safi”.
SOURCE: Times fm Radio.
Post a Comment Blogger Facebook