Mchezaji wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ureno, Renato
Sanches, ambaye ana miaka 19, ameshinda tuzo ya “European Golden Boy
2016” akiwashinda wachezaji wenzake Marcus Rashford,Kinglsey Coman na
wachezaji wengine waliokuwa katika kinyang’anyiro hicho.

Post a Comment Blogger Facebook