0
Vanessa Mdee amesema sio rahisi kwa msanii kufanikiwa kimataifa kama hana bajeti ya kutosha.

Vee Money
Akizungumza na Mwananchi katika tamasha la ZIFF lililofanyika Zanzibar hivi karibuni, Vanessa alisema media tour ya kimataifa ndio inahitaji pesa nyingi kwaajili ya usafiri na maradhi.

“Promotion ya mwanzo ilikuwa ni nyumbani tu lakini sasa hivi tunajikuta tunaenda kufanya media tour sehemu mbalimbali, Kenya , Uganda, Rwanda, Burundi na hivi juzi nimetoka Lagos kufanya media tour. Kwa Sababu hicho ni kitu lazima tuzingatie hakuna kazi inaweza kufika nje bila wewe mwenyewe kuipeleka, so nafanya ziara mbalimbali barani Afrika na inaitaji kipato cha fedha na kutumia fedha za kwako peke yako. Hiyo ni changamoto moja kubwa,” alisema Vanessa.

Post a Comment Blogger

 
Top