0


Gwajima akizungumza na waandishi wa habari pamoja na waumini wa kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kauli mbalimbali alizozitoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Willibroad Slaa, akimtuhumu yeye kuwa ni mshenga wa Lowassa pamoja na kumpa siri za Maaskofu na wachungaji kuhongwa na Lowassa ambapo alikanusha tuhuma zote.
 
Baadhi ya waandishi wa habari na waumini wa Kanisala Ufufuo na Uzima wakifuatilia mkutano wa Askofu wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo

Post a Comment Blogger

 
Top