0
VIDEO YA GWAJIMA AKIMUANIKA DOKTA SLAA
VIDEO YA GWAJIMA AKIMUANIKA DOKTA SLAA

Gwajima akizungumza na waandishi wa habari pamoja na waumini wa kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kauli mbalimbali alizozitoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Willibroad Slaa, akimtuhumu yeye kuwa ni mshenga wa Lowassa pamoja na kumpa s… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
09Sep2015

0
CUF Wamjibu Lipumba.....Wasema Chama Chao Kiko Imara Na Kamwe Hakiwezi Kuyumba, Pia Wameapa Kuilinda UKAWA Kwa Nguvu Zote
CUF Wamjibu Lipumba.....Wasema Chama Chao Kiko Imara Na Kamwe Hakiwezi Kuyumba, Pia Wameapa Kuilinda UKAWA Kwa Nguvu Zote

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARILeo tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es Salaam na kutangaza kwamba amejizulu nafasi yake kama Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Ch… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
06Aug2015

0
Prof:Ibrahim Lipumba Ang'atuka
Prof:Ibrahim Lipumba Ang'atuka

Prof. Lipumba akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya PeacockProf. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF. Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungu… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
06Aug2015

0
Wanachama wavamia ofisi za CUF Dar
Wanachama wavamia ofisi za CUF Dar

Dar es Salaam. WANACHAMA wa Chama cha Wananchi (CUF) wamevamia makao makuu ya chama hicho leo asubuhi na kusababisha kikao cha mwenyekiti Profesa Ibrahim Lipumba na wanahabari kuhairishwa.Mkutano wa mwenyekiti huyo ulikuwa ufanyike leo saa nne asubuh… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
06Aug2015

0
Wasomi waishangaa UKAWA
Wasomi waishangaa UKAWA

WASOMI mbalimbali nchini wamewatahadharisha wananchi kwa kusema nchi haijafikia wakati wa wanasiasa kutaka kushinda uchaguzi kwa gharama yoyote, hata kama hawana misingi ya utawala bora.Wakitoa maoni yao Dar es Salaam jana, wasomi hao kutoka taasis… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
04Aug2015

0
KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU
KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU

 Kutoka gazeti la uwazi.NI kweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
04Aug2015

0
Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake
Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake

Waziri  mkuu wa  zamani  Edward  Lowassa  ametangaza  rasmi  kukihama  chama  cha  mapinduzi, CCM mchana  huu  na  kutangaza  kuhamia  CHADEMA..... Lowassa  ametoa  kauli hii Bahari  Beach , Dar akiwa  sambamba  na  viongozi  mbalimbali  wa  UKAW… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
28Jul2015

0
LOWASSA Atua Rasmi CHADEMA.......Kutangazwa Muda Wowote Ndani ya Wiki Hii
LOWASSA Atua Rasmi CHADEMA.......Kutangazwa Muda Wowote Ndani ya Wiki Hii

Mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya Wa… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
Ukawa sasa waitisha CCM
Ukawa sasa waitisha CCM

Hai. Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema kampeni za mwaka huu zitakazofanywa na umoja huo, hazijawahi kuonekana tangu nchi ipate uhuru 1961.Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, alisema Ukawa itafanya kam… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
Baraza Kuu la Uongozi la CUF latoa Masharti Magumu kwa CHADEMA katika nafasi ya Mgombea Urais
Baraza Kuu la Uongozi la CUF latoa Masharti Magumu kwa CHADEMA katika nafasi ya Mgombea Urais

Kama mnavyojua ni kwamba, Baraza Kuu la Uongozi la CUF lilikutana jana Mjini Zanzibar kujadili masuala kadhaa. Miongoni mwa hoja zilizozua mjadala mkubwa ni pamoja na Nafasi ya CUF ndani ya UKAWA. Katika kikao hicho, Katibu Mkuu wa CUF Maalim Sei… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Jul2015

0
Prof. Lipumba tuna imani na wewe kuwa Rais
Prof. Lipumba tuna imani na wewe kuwa Rais

Maoni ya baadhi ya wanachama wa CUF juu ya uraisi ukawaWadau ni muda mrefu tangu mheshimiwa Lipumba achaguliwe rasmi na chama chetu cha CUF kuwa mgombea urais. Ukizingatia hasa weledi wako uzoefu wako na uvumilivu wako na staha katika siasa unafaa k… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Jul2015

0
Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!
Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!

Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc. … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Jul2015

0
Wiki Ya Mtikisiko: Lowassa na Timu Yake Wasubiriwa kwa Hamu UKAWA.......Zaidi ya Viongozi 950 Wa CCM Kutimkia CHADEMA Wiki hii
Wiki Ya Mtikisiko: Lowassa na Timu Yake Wasubiriwa kwa Hamu UKAWA.......Zaidi ya Viongozi 950 Wa CCM Kutimkia CHADEMA Wiki hii

Ni wiki ya mtikisiko. Hivi ndiyo unavyoweza kuelezea hali itakavyokuwa nchini kutokana na matukio makubwa ya kisiasa yanayotazamiwa kutokea ndani ya wiki inayoanza leo ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa siasa za Tanzania.  Hali hiyo inatokana n… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Jul2015

0
CUF wajifungia kutegua kitendawili cha Ukawa
CUF wajifungia kutegua kitendawili cha Ukawa

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kinafanya kikao chake cha Baraza Kuu la Uongozi leo mjini Zanzibar huku wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakisubiri kwa hamu kitakachoamuliwa kuhusu mgombea ur… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
25Jul2015
 
1
 
Top