Rais Kikwete Azungumzia Kauli za Magufuli Kuikosoa Serikali Yake.....Asema ni Haki Yake Kwa Kuwa Nchi Inahitaji Mawazo Mapya
RAIS Jakaya Kikwete, amesema hamshangai mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli kwa kukosoa utendaji kazi wa Serikali...