Gwajima akizungumza na waandishi wa habari pamoja na waumini wa kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kauli mbalimbali alizozitoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Willibroad Slaa, akimtuhumu yeye kuwa ni mshenga wa Lowassa pamoja na kumpa s… Read more »walumitz.blogspot.com
CHADEMA MOROGORO WAGANYIWAKA, KATIBU MAZIMBU AJIUZULU
KUPITISHWA kwa Majina ya Viongozi walioshindwa Kura za Maoni ndani ya Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) Morogoro, kumekigawa Chama hicho na kusababisha, kujiuzulu nyadhifa zao wakipinga Kukatwa kwa Mshindi wao wa Udiwani wa Kata ya Mazimbu… Read more »walumitz.blogspot.com
Lowasa aingia mtaani kukusanya maoni ya wananchi jionee
Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi pic… Read more »walumitz.blogspot.com
Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano
Mnamo Tarehe 14.08.2015 Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Chadema Alikuja Mkoa Wa Mbeya Akiwa Ameandamana Na Viongozi Wa Vyama Vya Cuf, Nccr – Mageuzi Na Nld Kwa Dhumuni La Kumtambulisha Na Kuomba Udhamini Wa Kupeperusha Bendera Ya Chadema Kwa Nafasi … Read more »walumitz.blogspot.com
JESHI LA KAMPENI LA CCM DHIDI YA UKAWA hili hapa
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza Kamati ya Kampeni yenye wajumbe 32, wengi wao wakiwa ni wale waliowahi kuvaana na mgombea wa Chadema, Edward Lowassa katika masuala tofauti.Lowassa, Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Awamu ya Nne, alijiondoa C… Read more »walumitz.blogspot.com
WANACHAMA WA UKAWA WA MJIBU NAPE KWA MABANGO
Katibu Mwenezi wa CCM Nape Amekaririwa Akisema kuwa CCM ina Wanachama Wengi sana, Hao wawili watatu mnaosikia wanahama chama kila siku ni sawa na Oili chafu ya Gari ....Hawana Tena Thamani.....… Read more »walumitz.blogspot.com
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”
Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi ch… Read more »walumitz.blogspot.com
BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa
BREAKING: Dr. Slaa aibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema Mambo Mazito kuhusu Lowassa...Hapa Chini unaweza Kusoma Mambo yote aliyosema kuhusu Lowassa na Chadema... … Read more »walumitz.blogspot.com
Habari Mpya Kutoka MUHIMBILI Ambako Freeman Mbowe Amelazwa Baada ya Kuugua Ghafla
Hali ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai anayemaliza muda wake, mh Freeman Aikae Mbowe, imeendelea kuimarika.Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili, anakopatiwa matibabu, m… Read more »walumitz.blogspot.com
Gazeti la Uhuru: Vijana waliomsindikiza Lowasa kuchukua fomu jana ni VIBAKA
Ni kitambo sana gazeti dada la chama Cha Mapinduzi limekua likinanga Harakati za vyama pinzani. Yote tisa kumi ni ripoti zilizomo kwa gazeti hili tar 11/08/2015 siku moja baada ya MTETEMO WA UKAWA JIJINI DAR."Ati Kundi la vibaka latikisa Ukawa. " h… Read more »walumitz.blogspot.com
Breaking News: Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua fomu Mgombea urais Chadema,Edward Lowassa
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amekanusha kupiga marufuku maandamano ya kumsindikiza Lowassa Kuchukua fomu ya kugombea urais ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi.Kova amesema kuwa maandamano wanayo ya… Read more »walumitz.blogspot.com
Mke wa Dk Slaa afunguka
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuzungumza na gazeti hili na kusema yupo salama, mke wake, Josephine Mushumbusi amekanusha tuhuma zilizozagaa kuwa ndiye aliyemshauri kiongozi huyo wa Chadema kujiuzulu na ku… Read more »walumitz.blogspot.com
Prof:Ibrahim Lipumba Ang'atuka
Prof. Lipumba akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya PeacockProf. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF. Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungu… Read more »walumitz.blogspot.com
Angalizo Kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taaluma ya upadri.Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata badiliko la kweli na kujiunga na mitume we… Read more »walumitz.blogspot.com
Wasomi waishangaa UKAWA
WASOMI mbalimbali nchini wamewatahadharisha wananchi kwa kusema nchi haijafikia wakati wa wanasiasa kutaka kushinda uchaguzi kwa gharama yoyote, hata kama hawana misingi ya utawala bora.Wakitoa maoni yao Dar es Salaam jana, wasomi hao kutoka taasis… Read more »walumitz.blogspot.com
KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU
Kutoka gazeti la uwazi.NI kweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa … Read more »walumitz.blogspot.com
Kada wa Vijana Chadema Dar auawa kwa risasi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Vijana Chadema Tawi la Luis, Mbezi Luis, Dar es Salaam, Dennis Kasanga ameuawa kwa kupigwa risasi shingoni usiku wa kuamkia jana, huku taarifa zilizotolewa na polisi zikitofautiana na mashuhuda wa tukio… Read more »walumitz.blogspot.com
Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ametangaza rasmi kukihama chama cha mapinduzi, CCM mchana huu na kutangaza kuhamia CHADEMA..... Lowassa ametoa kauli hii Bahari Beach , Dar akiwa sambamba na viongozi mbalimbali wa UKAW… Read more »walumitz.blogspot.com
Fedha alizochangiwa Lowassa na kundi la Marafiki wa Edward Lowassa zatafunwa....
WANACHAMA wa kundi la Marafiki wa Edward Lowassa waliochanga fedha za kumwezesha waziri mkuu huyo wa zamani kuchukua fomu ya kugombea urais, wamemtuhumu aliyekuwa naibu katibu wao, George Kivuyo kutafuna fedha hizo.Taarifa zilizopatikana kutoka k… Read more »walumitz.blogspot.com