Breaking News: Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua fomu Mgombea urais Chadema,Edward Lowassa
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amekanusha kupiga marufuku maandamano ya kumsindikiza Lowassa Kuchukua fomu ya kugombea urais ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi.Kova amesema kuwa maandamano wanayo ya… Read more »walumitz.blogspot.com